Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahamedi Salim umemsahau kaka
 
Picha Moja unaleta mara ishirini? Is that there is in Zanzibar ndio sasa ishinde Mombasa?πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna kitu gani kipo Mombasa znz hakuna

Znz kuna 5star hotel nyingi kuliko mji wowote Kenya

Znz kuna masoko yakisasa na kuna bus terminal ya kisasa inajengwa mjini

Znz ina modern and biggest international airport kuliko Mombasa

Znz ina hospital za kisasa na kubwa kuliko Mombasa

Znz ina state house ya kisasa na kubwa kuliko Mombasa

Znz ina clean water supply kuliko Mombasa ambayo mji hauna maji

Znz ina modern marine transport kuliko mji wowote Kenya na Africa yote kwa ujumla

Znz ina beautiful roads kuliko Mombasa

Znz inapokea watalii wengi kuliko Mombasa

Niendelee au inatosha ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…