Azam complex,kaitaba,Uhuru,Mkapa,Ligi ya uwanja mmoja wa kupauka π afrika tuna safari ndefu
Hii comment ya wivu mzee wa kula bata Arusha ππLigi ya uwanja mmoja wa kupauka π afrika tuna safari ndefu
Nyangβau hampoπLigi ya uwanja mmoja wa kupauka π afrika tuna safari ndefu
Tanzania Ina viwanja viwili ambazo ziko accredited na CAF standards. Of which kimoja ni azam complex ambacho watu wanakalia bench za chuma na mbao kingine ni makwapa stadium ambacho kina running track ya 2007 na viti non- foldable. Both stadiums hazina goal line technology and yet ligi Kuu bara is top 10. Hii inaonyesha viwango vya afrika viko chini SanaπAzam complex,kaitaba,Uhuru,Mkapa,
Utasemaje kiwanja kimoja?
Vingine kama Jangwani na KMC stadium vinakuja.
Geita gold nao wanajenga uwanja wao.
Wa Arusha nao ukikamilika utakua unatumika katika ligi.
Kuna wa jamhuri Dodoma.
Daily dose ya render imeishia wapi?πTanzania Ina viwanja viwili ambazo ziko accredited na CAF standards. Of which kimoja ni azam complex ambacho watu wanakalia bench za chuma na mbao kingine ni makwapa stadium ambacho kina running track ya 2007 na viti non- foldable. Both stadiums hazina goal line technology and yet ligi Kuu bara is top 10. Hii inaonyesha viwango vya afrika viko chini Sanaπ
Three STS Gantry cranes have arrived at Lamu Port. Sasa kazi inataka kuanza rasmi at Lamu Port. Bongoslum only Dar is a slum port pekee ndio three or more STS gantry cranes. Two other cranes are destined to South Sudan, bongolalas walidhani lapsset imekufa. Poleni sana. π π π π
Kwanini sasa usijishangae wewe na nchi yako, kwamba ingawa kwa unavyodai viwango vya Africa ni vidogo but you still unable to meet them.? πππ Hii ikwambie nyinyi ni hovyo zaidi, juu hata hivyo viwango vidogo vyenye unadai still hamvipati. Poor kundurendersTanzania Ina viwanja viwili ambazo ziko accredited na CAF standards. Of which kimoja ni azam complex ambacho watu wanakalia bench za chuma na mbao kingine ni makwapa stadium ambacho kina running track ya 2007 na viti non- foldable. Both stadiums hazina goal line technology and yet ligi Kuu bara is top 10. Hii inaonyesha viwango vya afrika viko chini Sanaπ
Usiwe pumbavu, yani hadi cranes zimeandikwa Lamu Port lakini unajifanya mjinga.Desperation at it's best..
Yani hizo picha hapo na hizo sentence mbili ume type ndio inatosha kusema hizo STGs ni zinaenda mwalo wa lamu?
Picha za last year hizo ndio unatuwekea leo!?
Nyie ligi yenu inauwanja mingap hebu tuanzie hapo π π π π πLigi ya uwanja mmoja wa kupauka π afrika tuna safari ndefu
Nyinyi munavyo vingap vinavotambulika na CAF au FIFa π π π π π π π π πTanzania Ina viwanja viwili ambazo ziko accredited na CAF standards. Of which kimoja ni azam complex ambacho watu wanakalia bench za chuma na mbao kingine ni makwapa stadium ambacho kina running track ya 2007 na viti non- foldable. Both stadiums hazina goal line technology and yet ligi Kuu bara is top 10. Hii inaonyesha viwango vya afrika viko chini Sanaπ
When you canβt win on the field , you console yourselves behind trivial mattersβ¦. Toilet Boy , you are the kid that got an F in class but your response to your Dad was....but am the most popular in my class β¦ π€£π€£π€£β¦ You play to win , Not to be Popular..π€£π€£π€£
Nasema tena ninamashaka hapo sio mtwapa, we jua hvo usinichimbe SanaTuseme tu hujui meaning ya suburb. π π π Wabongo munakuanga mafala sana. Toilet Boy mjuaji ebu tuambie kama sio Mtwapa hapo ni wapi?
Toilet boy, Mtwapa huijui hata kidogo. Bado hii ni Mtwapa.Nasema tena ninamashaka hapo sio mtwapa, we jua hvo usinichimbe Sana
Nazungumzie Ile picha uliopost mwanzo sio mtwapa wala sizungumzii hii usibadilishe Mada kenge wewe π π π π π πToilet boy, Mtwapa huijui hata kidogo. Bado hii ni Mtwapa.
Bado uko in denial π π π Ebu tuambie kama sio Mtwapa ni wapi? Ju unajifanya kujua sana.Nazungumzie Ile picha uliopost mwanzo sio mtwapa wala sizungumzii hii usibadilishe Mada kenge wewe π π π π π π
Chukua Arusha + mwanza + Zanzibar ndo ifikie MombasaMombasa haitokaa ipate taste kama hizi, Arusha achaneni nayo kabisa
View: https://www.instagram.com/reel/C5WfXx5NEc-/?igsh=MTlwd3V1emZuZWYweg==