Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Ananiletea majengo ya wachina as if mumejenga nyinyi wapuuzi miradi almost 90% yote ni ya wageni yakwenu iko wapi

Serekali haina hata mradi mmoja kwa ajili ya wananchi wake Yani mpaka stadium munasubiri mchina ajenge kwa hela zake alaf aimiki 100yrs auπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

88nairobi inamilikiwa na mkenya gani🀣🀣
Na sio hio Tu majengo mengi Sana yanamilikiwa na wageni au unataka kubisha nn machizi nyinyi
 
GTC ulisema ni render
88 Nairobi ulisema ni render
CBK ulisema ni render
Expressway ulisema ni render
1780 Tower ulisema ni render
Altura ulisema ni render
Maybe we should just call him Mwarabu renderβ€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Kama yeye yupo mattercone mwa dunia hamjui ndio watu wanao afford huduma yake wasimjueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kama hamjui maana yake sio level yake ya spending πŸ˜‚
Huyo allyb ambaye hamjui ila watu wa eldoret wote wanamjua na wamemshangilia na wamempa pesa za kutosha 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…