Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona nyie mnachukua mikopo ilhali shilingi yenu bado hafifu? Mnafanyia nini mikopo yenu?
 
Ata ifike 110%
Shida ya transmission haitaisha.
Giza mtakula bado unless mbadilishe hao mafisi wa ccm kama Senegal
Nchi Bure sana
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Ww anafkiri tunajenga bwawa kubwa kama Hilo lenye thamani ya 3b USD bila transmission unatuona Sisi vichaa au?? Ikiwa kupeleka umeme vijijini Tanzania ndio inaongoza Africa na mwaka I vijiji vyote Tanzania nzima vitakua na umeme na hapo hapo utambue Tanzania ni kubwa mara mbili ya Kenya
 
Hii itaanza kazi 2026 ?
Naskia uhaba wa stima Iko kwa record sahiii,
Shida kama Ebl thethiopia
July ikifika hakikisha simu yako ina charge na ina internet bundles za kutosha bila kusahau uwe na ndoo ya lita 20 karibu ili usichafue hapo chini kwa machozi na kamasi🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sisi tukichukua mikopo ni either ya elimu au maendeleo nyinyi VP Huko?🀣🀣🀣 Taking loan from Aisha to pay Hamisi
Kwa hivo ya kulipa madeni inafanya shilingi ikue na ya maendeleo inafanya shilingi izorote ama unajaribu kusema nini wewe kijana wa chumba cha kunya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…