Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Nimekuambia hizo blah blah za nyang’au tumeshazizoea mbona husikii?🙂Mwishoe matokeo huwa inawanyamazisha mnatafta pakutokea, malizeni Kawe mje tusemezane.., domo domo bakini nazo vijiweni..,
Utaimba hii pambio lakini jibu haupati.., mkimaliza Kawe nitag, story za vijiweni nenda ukahadithie maboya wenzako., hapa nataka facts, kazi ikamilike..,Nimekuonesha maeneo 18 ndani ya Dar es salaam. Unakimbilia Kisumu.
Tukubaliane
Dar es salaam VS Nairobi, Kisumu, Kericho, Mombassa, Nakuru etc 🤣 🤣 🤣 🤣
Nairobi is very small with a big bush
Naona uzee ikikuuwa kabla hii Kawe ikamilike..,Kawe = Konza + Westlands + Kilimani + Karen 🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/kNBFhXJSGHE?si=RVgW747uasBknX7-
Na hizo hadithi zenu za vijiweni tulisha zichoka, hamna jipya siku zote.., leteni facts, ama niwaitie World bank...,Nimekuambia hizo blah blah za nyang’au tumeshazizoea mbona husikii?🙂
Ujenzi wa barabara Kunyaland upo kihuni sana, barabara zao nzuri ni zile tu walizobahatisha kupata constructor na consultant ambae yupo chini ya financier ambae ni WB au afdb lakini zile ambao gok wenyewe ndio financier huwa zipo kijua kali kuliko kawaida 😁😁we are african and africa is our muwajengee tuu hao mang'ombe huo uchafu. Huku tarura au tanroads hawawezi hata kujenga barabara ya mtaa hivyo watakula za kichwa dakika sifuri.
Sasa unataka nikupate wewe ni nani? Unadhani nipo hapa kwaajilia ya kukupata stupid kenyan. Ondoeni slums hapo nairobi kwanza. 🤣 🤣 🤣 🤣Boss mimi haunipatii hizo hadithi za vijiweni, ondokeni Kenya na omba omba wenu niwaheshimu.., endeleeni kupiga boda boda na kuuza kahawa, salon na omba omba kwa amani.., ukweli mnachukia sana..,
Nyang’au kwishilia mbali🙂Na hizo hadithi zenu za vijiweni tulisha zichoka, hamna jipya siku zote.., leteni facts, ama niwaitie World bank...,
waliniacha hoi walivyojenga barabara katikati kuna nguzo za umeme nlicheka kidogo nizimie.Ujenzi wa barabara Kunyaland upo kihuni sana, barabara zao nzuri ni zile tu walizobahatisha kupata constructor na consultant ambae yupo chini ya financier ambae ni WB au afdb lakini zile ambao gok wenyewe ndio financier huwa zipo kijua kali kuliko kawaida 😁😁
Wewe unaweza nipata kweli, hauna uwezo wowote mbali na domo domo shoga lizee 😛., ondoeni uswazi Dar karibia 90% kisha uje tusemezane.,Sasa unataka nikupate wewe ni nani? Unadhani nipo hapa kwaajilia ya kukupata stupid kenyan. Ondoeni slums hapo nairobi kwanza. 🤣 🤣 🤣 🤣
Welcome back.Ni muda mrefu tangu nikue humu.., no change.., yaani hii miaka yote Kawe bado inatapatapa.., Tanzania SGR bado hamjapanda? Mombasa walianza na kukamilisha affordable housing.., taifa fukara hili Tanzakundu..,😛
Buxton aafordable housing wakati wa ujenzi.., MOMBASA ndio Dar es Salaam..,
View attachment 2951743
finished.,
View attachment 2951750
View attachment 2951751
View attachment 2951753
View attachment 2951754
poa mzee hvo hvo tupo tunasogeza maisha 😁Sijakua humu.., mimi ni ule mse, hakuna kujificha, ni piga nipige, mbaya mbaya.., uhali gani lakini?..,