Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti ni kwamba hapo vijijini ni mashamba, hapo Loresho ni mjini kuna majengo yet bado tumemanage kupreserve greenery. Sii rahisi kupreserve greenery mahali kuliko na majengo mengi.
Sio rahisi kupreserve greenery mahali kuliko na majengo mengi kivipi? Hamna culture ya kupreserve greenery the vice versa is true in Tanzania, the place more people are inhabiting the more greener it becomes sababu popote mtanzania akijenga lazima apande miti na maua kuzunguka eneo lake it more likely hutumia miti as demarcation of your land pawe mjini au kijijini, lakini ninyi mnapenda kuishi kwenye dormitories na mpo wengi kama chawa hii mifumo kwenu haipo applicable
 
Sasa zile vitenge architecture ndio unasema mnajua kupreserve greenery. Broo..............wachana na hiyo kitu unavuta. ๐Ÿคฃ

Kenyan Greenery Architecture

Kitenge Architecture
 
Mama Ngina Foundation inawapitia vijana wa kikenya allowance ya internet na vlog. Msishangae 24/7 watoto wa kibera wanajaza server za JF with non contextual words.
 
Eti mahali mtanzania amejenga ni lazima apande miti? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tell me, waliojenga hapa sio watanzania?
 
Sasa wewe ukiona green net mbili upanga unashikwa na nyege.

Look at this Kilimani photo alone. Kuna zaidi ya mjenga tisa under construction and this is just one random pucture.
 
Coming... Mk-AICC,Arusha๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ