Anajua.Hvi haya madudu Rais wa nchi anayajua??
Mlianza kufurahia hapa vile Uganda itapitisha mafuta Kwenu. Mkishawapea what they wanted wakawadump.It's actually the other way. Kama ungekuwa na akili ungeliona hilo kitambo.
Kila mtu anajua sahivi, ili upate unachotaka kunyaland basi wewe taja Tanzania Tu 🤣
Hili tuliliona ati wamewapa Wakunya tender!
IamLee 😅😅😅#SEABOURNSOJOURN LUXURIOUS CRUISE SHIP IN DAR ES SALAAM TANZANIA
View: https://m.youtube.com/watch?v=v5ZGHGVYx1ESource : Travellers TV
Sasa unashingilia ships za 700 people while Kenya is receiving ships za 1500-3000 people.
Ziko wapi hzo ships naomba nizione 🤣🤣🤣 Hii ni ship ya pili jana tumepokea meli mbili za kifakhari moja mafia kilikua na watu 400 na hii nyingine ina watu 700 darSasa unashingilia ships za 700 people while Kenya is receiving ships za 1500-3000 people.
Unafaa urudi kwenu wewe. Unajazia watanzania nchi yao.Ziko wapi hzo ships naomba nizione 🤣🤣🤣 Hii ni ship ya pili Jana, tumepokea meli mbili za kifakhari moja kilwa kiliku na watu 400 na hii nyingine ina watu 700 dar
View: https://twitter.com/SophiaKessy/status/1647997047188910080?t=87DFUEHgLBnLy7JkVa3r6A&s=19
Hii ni meli ya kifakhari duniani iliobeba matajiri wenye pesa nyingi Sana tena imetoka znz imekuja dar just imagine 🤣🤣 Yani imeacha pesa znz unakuja kuacha na pesa dar two in oneUnafaa urudi kwenu wewe. Unajazia watanzania nchi yao.
View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1772866662661775676?s=19
Wewe refugee tuko 2024. Mbona unapost tweets za 2023?Ziko wapi hzo ships naomba nizione 🤣🤣🤣 Hii ni ship ya pili jana tumepokea meli mbili za kifakhari moja mafia kilikua na watu 400 na hii nyingine ina watu 700 dar
View: https://twitter.com/SophiaKessy/status/1647997047188910080?t=87DFUEHgLBnLy7JkVa3r6A&s=19
View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1772997664184959026?t=7suWQ37rYeJd8EZr8d9JHQ&s=19
Umeshindwa kupost cruise ship za 2024?Another white elephant project iga ufe🤣🤣
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1773941250778898448?t=93MGIpF7hOgjreF-D5GwzQ&s=19
Kwani hii ni ya lini ??🤣🤣🤣🤣Umeshindwa kupost cruise ship za 2024?
View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1753648937523683614?s=19
400 passengers ndio unapigia kelele?Kwani hii ni ya lini ??🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1772997664184959026?t=W6eYqwEumPI6-_Cmeimjbg&s=19
Hebu tuskize huyu,Shabiki wa Simba alietoka Kenya🤣🤣🤣
Sikieni Kiswahili yake
View: https://youtu.be/sltnVEidM7M?si=DTAvFThj-wPcC5O6View attachment 2948742
Huyu Collins Okinyo amekuwa celeb hapo bongo, huku kwetu hata hatumjui. Mimi ndio mara ya kwanza namsikia kwa hii thread. Seems you guys are so hungry for our validation.