Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

OK let them have their own fantasy way of earning whatever, sasa ninyi hizo million dollars 70 mnazinyea wapi?
Accommodation =Money injected into the economy
Racing cars fueling = Money
Helicopters fueling = Money
Car service =Money
Helicopters Service =Money
Touring our parks = Money
Meals =Money
Government share = Money
New Telephone lines =Money
 
mna safari ongezeni bidii muwafikie dakar. ama andaeni Motogp ndio mtupigie kelele.
Dakar Rally haiezifikia Safari Rally. Just google the toughest World Rally Championship alafu hone penye Safari Rally ranks in.
 
Aisee hawa akili zao wanazijua wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚mganda anaetegemewa ainject hiyo dollars million 70 ndio hawa mamantilie πŸ˜‚

View attachment 2948244
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Wanaumia Sana kwa hili tukio linalofanyika Tanzania wameumia Sana Kias kwamba wanakwenda mbio kutoa mapovu
 
Accommodation =Money injected into the economy
Racing cars fueling = Money
Helicopters fueling = Money
Car service =Money
Helicopters Service =Money
Touring our parks = Money
Meals =Money
Government share = Money
New Telephone lines =Money
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe kwa akili yako hawa ndio wakuinject kwenye accommodation na helicopter fueling? 😁😁😁

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe kwa akili yako hawa ndio wakuinject kwenye accommodation na helicopter fueling? 😁😁😁

View attachment 2948246
Hawa kwanza nilidhani wamesimama kwa mama Ntilie wanunue kumbe inawezekana wamekodi moto tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zoom itaona wamebeba hadi madude ya ndizi .
 
So hiyo shirt Tanzanian economy pesa? Why are you so desperate? Kenya is busy earning $70M from Safari Rally wewe unatuonyesha tweets za shirts hapa.
Umeulizwa swali ujibu Kwanza πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe kwa akili yako hawa ndio wakuinject kwenye accommodation na helicopter fueling? 😁😁😁

View attachment 2948246
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…