Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


ichoboy01 usipite kimya hatakama ni ukweli mchungu
 
Construction imeanza last month. Hizo seven months umetoa in your ass ama?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ww hushtuki talanta mchina anajenga kwa over 300m USD three times of Arusha stadium🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hapo bado pesa ya ruto ya kukubali mradi another 50m USD
Usilinganishe Talanta na kila uchafu barabarani, leta kina Wembley, old Trafford N.K
 
Kushiriki mashindano makubwa kama hayo ambayo ww haumo na hutakuwemo kwa miaka mingi tu 🀣🀣

Yes tumechapwa na Bulgaria na Bulgaria ni wa 80 kwa ubora lakini haibadilishi maana ya Sisi kushiriki kwenye mashindano makubwa ya FIFA series ni heshma kubwa Sana kwetu kwani ni moja ya sehemu ya kumtangaza nchi yetu

Nyinyi kwenye soccer munashiriki mashindano gani mpaka SASA hvi ?? Naomba ujibu swali langu plz
 
ichoboy01 usipite kimya hatakama ni ukweli mchungu
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Usilinganishe Talanta na kila uchafu barabarani, leta kina Wembley, old Trafford N.K
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kula chuma ukapumzike πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ world class stadium hakuna loan wala PPP ni pesa za serekali asilimia 100 hapo bado dodoma mbona mutalipa mwaka huu



View: https://twitter.com/XHNews/status/1770439501007249829?t=7XHI_vGuji3nYrKRvt44gA&s=19
 
Kama Nyayo stadium aisee, tofauti ni kwamba tracks za nyayo zimezalisha wanariadha bora dunianiπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…