Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya sifa zitawaua.. Sasa huyo dogo mnataka mpaka Trump amuone au... Kapewa airtime utafkiri kawashinda Alshabab..
'huyo dogo' ako na akili ndefu kukushinda. angekuwa huko kwenu mungekuwa saa ii munamtoa mbio mithili ya digidigi mukitaka kumgeuza supu.
hashuki ng'o

Satan
 
'huyo dogo' ako na akili ndefu kukushinda. angekuwa huko kwenu mungekuwa saa ii munamtoa mbio mithili ya digidigi.....
hashuki ng'o

Satan
Unapapenda kweli Tz[emoji23][emoji23] hii ni the Promised LAND.. Nyie nyie ndo mlikuja huku kuwaua ili dunia isiwajue kama nyie majambazi[emoji23][emoji23]
 
'huyo dogo' ako na akili ndefu kukushinda. angekuwa huko kwenu mungekuwa saa ii munamtoa mbio mithili ya digidigi mukitaka kumgeuza supu.
hashuki ng'o

Mkija uku ni mwendo Wa mnada au Kukaangwa kama Vifaranga vile[emoji23][emoji23]
Mkija uku ni mwendo Wa mnada tu au Tunawakaanga km vifaranga vile
 
ndio uyo uyo mmoja
Hapa Tz dogo anapga 99 mitihan yote lkn tunamskia kwenye vymb vya hbr na Bunge Mara moja tu... Ikizid 2 basi..Sasa Kenya wanafanyia mtaji as if watawarudisha Tourists waliohama huko kuja Tz
 
Hapa Tz dogo anapga 99 mitihan yote lkn tunamskia kwenye vymb vya hbr na Bunge Mara moja tu... Ikizid 2 basi..Sasa Kenya wanafanyia mtaji as if watawarudisha Tourists waliohama huko kuja Tz
ndugu... hapa hakuna mtu utapiga mnada au kukaanga kama supu omena hapa!!
jaribu Sumbawanga huko labda utafanikiwa
 
Nitajie hao wazungu na unionyeshe mashamba yao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
hii ndio orodha ya white settlers wanaomiliki ardhi kubwa nchini kenya sambamba na ekari wanazomiliki.
 
lete map ya Kenya unionyeshe vizuri nijue ni kiasi gani wanamiliki
 
Nipe example ya kitu kimoja tu amefanya zaidi ya kuchochea wajaluo wenzake iliwahalibu mali za wakenya
atleast jaramogi didn't grab our lands to settle us in other people's territories......Kenyatta wenu si alikuwa akinyakua ardhi na chopper anapaa juu akichoka anasema ..."this is the boundary"
 
lete map ya Kenya unionyeshe vizuri nijue ni kiasi gani wanamiliki
acha uvivu...kwanza ilitakiwa unishukuru kwa kukusaidia kuleta hizo screenshot....mengine tumia juhudi zako binafsi kutafuta taarifa.

huwa inaleta shaka pale mtoto wa kuume anapo-demand kusaidiwa kila kitu na mwanaume mwenzake.[emoji23] [emoji23]
 
ndugu... hapa hakuna mtu utapiga mnada au kukaanga kama supu omena hapa!!
jaribu Sumbawanga huko labda utafanikiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Povu... Et naskia Kenya Adi ndege mmeingia ubia I mean mnashare profit ni kweli?
 
Funny, that is what you mean by Kenya is owned by whites? Huh!

The total acreage of Kenya is 143million! so ao watu wa 100k acres of semi arid land ni nini. Heck my extended family land is about 35k acres in western, a pristine agricultural zone yet we ain't in that shity list!

Hizo shamba zote umelist zipo Laikipia, look at how huge Laikipia is vs the rest of the country

 
Thanks!



So who stopped you from mining your resources and utilising them?
Kenya has nothing but is glad to be above Bongolala.
Endeleeni kulala. Kumbuka, ukilala utalaliwa
Usisahau Tanzania spoon feed Kenyans , mmekuwa wavivu sana kufanya kazi , most of the time mpo CBD na kaki envelope
 
Kusema ukweli Kenyatta family ilinyakua ardhi nyingi sana ya central province . ..that's why most kikuyus were displaced to Rift valley province the land of the nilotes and few pockets to mpeketoni in lamu.Wasee wa nyanza na western na Eastern province ndio hawana shida ya shamba.....like kama sisi familia yetu tunamiliki 30 acres kule Homabay na tunalima watermelon Groundnuts maharage na ndizi........We should just implement the TJRC report so that we have a real closure on injustices once and for all.Like now kalenjins and kikuyus are pretending to be united lakini wakitofautiana kisiasa ndio utaona true colours za ardhi issues huko rift valley.We can pretend all we want but the truth will set us free.......
 
sometimes mkibanwa kwa battle huwa mnafunguka.....good job my fellow tanzanians.[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…