Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hacker bandia.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sahii umeanza kusifia wazungu.
Kiswahili hujui kumbe 🀣 🀣 🀣 (Nikisema wazungu wamo maana yake Ejaculation, sparm zinaigia eneo husika) Mnaongea kiswahili kama watoto. Nenda shule kasome kiswahili na misemo yake 🀣🀣🀣
 
Kiswahili hujui kumbe 🀣 🀣 🀣 (Nikisema wazungu wamo maana yake Ejaculation, sparm zinaigia eneo husika) Mnaongea kiswahili kama watoto. Nenda shule kasome kiswahili na misemo yake 🀣🀣🀣
Hacker bandia umetoka from DDOS attacks to ejaculations after umeona umeijiabisha. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Beba aibu zako pekee yako we pimbi.
 
You said your salary was Tsh 800k. How comes tena it’s $400k net?. Huoni unajidanganya?

$400k is not equal to Tsh 800k.
We jamaa huwa hausomi kwa umakini.
Kipindi mie nafanya kazi nlikua napokea 850k Tzsh.
Hiyo ni mshahara marupurupu bado kama vile hela za clinic na overtime.
Ndio maana kule nilisema 400$ ni sawa na 800k+ embu ielewe hiyo alama ya jumlisha stands for what.
Kipindi mie nafanya kazi dola kwa hela ya Tz ilikua 2200 uki convert 400$ inakuja kwenye 860+K tzsh.
 
Hacker bandia umetoka from DDOS attacks to ejaculations after umeona umeijiabisha. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Beba aibu zako pekee yako we pimbi.
Nenda shule kijana. Kiswahili ni lugha adhimu inazungumza na watu waadilifu 🀣 🀣 🀣 🀣 Wewe kajamba nani endelea kupiga mayowe.
 
Jamaa anajaribu kucook figures but hazingii. Hata akiweka $400 bado haitakuwa the same na Tsh 800k alisema before.
Rejelea post yangu kesha soma kwa umakini.
Ukiambiwa 800+K unaelewa nini??
Ni laki nane na zaidi.
Kama unakimbilia mimi nina cook figure pole yako.
 
$400 is not equal na Tsh 800wewe ELEWA MAANA YA ALAMA (+).
NIMEWEKA ALAMA YA (+) ILI KUONESHA NI LAKI NANE NA ZIADA.
Embu elewa maana ya hiyo alama.
Au labda nikuulize.
Mtu akikwambia nguo inauzwa 600+ Kshs wewe unaelewa nini??
Hiyo alama ya jumlisha inaashiria nini mbele ya hiyo 600??
 
Huku kwingine wakochakazwaga nako ilikuwaje? πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C42MPR5NkHa/?igsh=NjQzdmg1aXlpdjdt
Ukraine and allies washamshindwa Russia.
Tuzungumze facts sio ushabiki wa kipuuzi.
Ukraine kila leo misaada anayopewa inaonekana kutokutosha.
Sasa hivi wanajadili kama kutafaa kupeleka msaada wa kijeshi wa NATO.
Vita hao NATO ishawashinda wakae tu waitishe mazungumzo laa sivyo Ukraine itaendelea kuteseka bado.
 
Kiswahili haujui na kiingereza haujui pia, sasa unajua nini wewe.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ikiwa hata speaking skills, listening skills hauna.? Ooh kumbe hata writing skills yako pia ni mbovu πŸ˜‚πŸ˜‚

Tuambie mzee unajua nini.?
''Kiswahili haujui na kiingereza haujui'' πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Yako ndio sanifu sio. Nyani haoni kundule. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Na lazma wakubali hvo kwasababu ni pesa ya mchina once again 🀣🀣🀣🀣🀣
Najiuliza kodi huwa wanapeleka wapi hawa jamaa!?
Sipati jibu kabisa,kodi za raia wa Kenya zinatumikaje aisee!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…