Mpeni zwazwa aishi nayo 🤣🤣🤣Siasa za kipinzani bongo hauwezani nazo, huku zinaitwa ni siasa za maji taka. Kuzusha mambo ya uongo kibao ndio kazi wanaweza hao jamaa.
Lia basi.🤣🤣👇🏾👇🏾Leta evidence basi
Mlijaribu kujitutumua eti kujenga Talanta kwa pesa zenu through kdf baadae sijui nani aliwasanua mkajua kdf wamespecialize kwenye shoplifting tu na mambo ya ujenzi hawajui wala pesa ya kujenga hamna mkamkimbilia mchina atoe msaada, Mchina akasema atawasaidia kwa billion 800 na itakua mali yake kwa miaka 80 until further notice 😂😂😂
View: https://twitter.com/KBCChannel1/status/1704057748617376021?t=4CbDDP9GZhjHUInhH4eixA&s=19
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1765302835229392935?t=-H24d6SWYqUPd3fvFLJ0SA&s=19
Sasa Unajua ppp huwa zinaendeshwa kwa tolls payments, kwa spirit ipi ya soccer wakundustan mnayo ya kurudisha hayo mapesa yote ya mchina atayoyazika hapo Talanta haki ya Mungu Sidhani hata kama atamaliza ujenzi kwa at least 70% itamchukua forever kutumia gate collections kurudisha return on investment 😂😂😂
Endelea kulia.🤣🤣🤣👇🏾👇🏾👇🏾Sasa Unajua ppp huwa zinaendeshwa kwa tolls payments, kwa spirit ipi ya soccer wakundustan mnayo ya kurudisha hayo mapesa yote ya mchina atayoyazika hapo Talanta haki ya Mungu Sidhani hata kama atamaliza ujenzi kwa at least 70% itamchukua forever kutumia gate collections kurudisha return on investment 😂😂😂
Sasa ninyi duniani hapa ni nini mnakiweza peke yenu bila misaada? 😁😁😁 Mchina amekua kama mama yenu, ugali awape na pa kuchezea awasaidie 😄😄 lazy bones saa nyingine mpaka gongo anadonate mchina mbingu ni yake
Negotiation stageSasa Unajua ppp huwa zinaendeshwa kwa tolls payments, kwa spirit ipi ya soccer wakundustan mnayo ya kurudisha hayo mapesa yote ya mchina atayoyazika hapo Talanta haki ya Mungu Sidhani hata kama atamaliza ujenzi kwa at least 70% itamchukua forever kutumia gate collections kurudisha return on investment 😂😂😂
Zile za mtumba ama? Za mtumba kuna kesi Mturuki anadai fidia TRC kuvunja mkataba!Oy wakuu nani anajua status ya manunuzi ya zile vichwa za train zetu double decker? Treni za gorofa, Geza Ulole nilona last time ulikua ukizungumzia, vipi jameni tunaendaje huko?
Nunua bundles wacha ushamba.
Nilikuwa na test kumbe wazungu wamo nimeishusha kwa dakika kadhaa 🤣 🤣 🤣Nunua bundles wacha ushamba.
Nairobi Stadium ndio gani? 😂 😂 😂
Kuwakulisha bila kushinda ubingwa ni upuuuziTumewawakilisha afcon na hii itaendelea kuwa hivi miaka mingi ijayo, CAF ndiyo usiseme kabisa tuna team mbili robo fainali, ligi yetu ni ya tano kwa ubora Africa, hatupaswi kuongea na nyinyi kuhusu football 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣