Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usilete i &m apa kajumba kafupi zungumzia ata prism though mnatudanganya kua ni flr 34 lakin habar za ndani hua sio kweli sijui kwann hamjawah kua wawazi ata kwa swala dogo
ni kafupi ndio ila ni mrembo sana...tazama.... hasira hasara ndugu
 

Hii nimepiga Jana ikitokea njia ya Monduli Arusha ikielekea Kenya kupeleka chakula , apo imebeba viungo (vitunguu maji) kuhakikisha wageni wanao ingia Kenya wanapata CHAKULA safi kutoka Tanzania

Nawauliza wa Kenya how long Tanzania will spoon feed you mpate akili ya kujituma kufanya kazi KULIKO kushinda bustani za Nairobi na envelope za kaki
 
we are still poor yes but what are you? LDC...cha muhimu ni kuwa uchumi wetu wa $75B ni mkubwa kuliko wenu ilhali Kenya ni nchi iliyo kavu na pia ni nchi iliyo na watu wachache kuliko tz
Tofauti kati ya Tz na Kenya ni watu kama 5m tu,
Halafu asikudanganye Mtu, Kenya sio kavu, isipokuwa ardhi yote arable mmenyang'anywa na wazungu na wanasiasa akiwepo rais wenu huyo Mkora Uhuru,
Hebu fikiria Familia ya Kenyatta inamiliki ekari 500,000,
The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
You guys mngechagua Raila angewasaidi walau kujinasua kwenye huu mtego wa wakikuyu, hamtatoka hapo milele.
 
Nilikujibu alisema lakini ilikua 80s na sasa ni 2017πŸ˜€πŸ˜€ hasira za nini sasa labda hekari 50 ndotoniπŸ˜›πŸ˜›
 
Raila hajawahi kuwa Rais...
Na jeee kenyatta na babake wamemaliza umaskini na Jiggers Gatundu since 1963?
Kwanza huyo baba yenu lazima alejeshe pesa yetu ya kazi kwa vijana alioiba ndio tumchague awe headmen wa kijiji chetu
 
Mambo ya "itazalisha" jiwekee Mimi nataka at present what are you producing?
Tuko 2017 na Kenya tayari SGR yasafirisha watu na wewe unaniambia juu ya 2019, can't you just see Kenya is ahead? 2019 - 2017 = 2 years mko nyuma Tanzania kubali yaishe.
Ahead of gari moshi???? SeriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nilifkiri mutaeka history kwenye SGR kumbe mumeenda kurudisha train za 80s ama kweli aliweroga kafa
 
Ahead of gari moshi???? SeriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nilifkiri mutaeka history kwenye SGR kumbe mumeenda kurudisha train za 80s ama kweli aliweroga kafa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1 + 1 = 2
 
northern Kenya yote ni kavu...tz on the other hand, is not...ila tumewashinda kiuchumi...inatia aibu sana jinsi mlivo barikiwa na rasilimali aina mbali mbali ila mpo tu LDC...yaani tofauti ynu na DRC hamna
 
Ahead of gari moshi???? SeriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nilifkiri mutaeka history kwenye SGR kumbe mumeenda kurudisha train za 80s ama kweli aliweroga kafa
niletee picha ya SGR tz..plz bro...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€fairy tales ndio mnatuimbia hapa...ujenzi hata haujaanza
 
northern Kenya yote ni kavu...tz on the other hand, is not...ila tumewashinda kiuchumi...inatia aibu sana jinsi mlivo barikiwa na rasilimali aina mbali mbali ila mpo tu LDC...yaani tofauti ynu na DRC hamna
Central Tz yote ni semi-arid,
But still Tanzania is feeding Kenya.
Tofauti ndiyo hiyo, We are feeding you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…