Show me a Hiace in this picture I posted.Hizo Daladala hapo sio Hiace kama za post niliyojibu. Hizo Toyota Coaster,Nissan civilian 26+ passengers zipo hadi leo kwenye baadhi ya route.
Hiace ndio zimekuwa banned. That 1993 minivan you posted was Toyota Hiace aka Kipanya.
Nashangaa jamaa wanakomaa na racing track as if inakatiza katikati ya uwanja.
Hizo ni hiace au coaster??Kama hiyo picha ni ya 2006 hizi hapa pia ni 2006?
View attachment 2939217View attachment 2939218
Nauliza hivyo kwa savabu mnaosisitiza hamna magari kama hizo Dar Kwa sasa.
Si mnaona mlivyo wajinga?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Show me a Hiace in this picture I posted.
View attachment 2939248
Huenda tuanajadiliana na watu wasiojielewa
Whether its a Hiace, Nissan Urvan,Caravan it's a minivan we call them Kipanya. Banned ages ago. Tell me it's not 30yrs old coz I know in Kenya you only use brand new cars.Show me a Hiace in this picture I posted.
View attachment 2939248
Huenda tuanajadiliana na watu wasiojielewa
Yani kwa sasa Arusha ikipigwa exhibition centre, ikaongezwa na conference centre moja kali!Uwanja kama huu wenye running track kwa mkoa wa Arusha ni kitu kizuri sana. Umekaa kimkakati sana, hasa katika masuala ya utalii. Msishangae kuona international sports nyingi zinazoshirikisha EAC, Africa au Dunia nzima zitakuwa zinafanyika hapo Arusha.
Mnacheka uwanja una running track, wakat sisi tuna mikakati yetu
Compare and contrastA futuristic Stadium of 60,000 seats.
View attachment 2939209
Ukumbi wa warogi na wabeba Sufururia of upto 30,000 seats.
View attachment 2939211
Za Nairobi ndio hamupendi sivyo?Kuna siku uliambiwa Tz hatupendi miti? BTW hio miti ipo tangu hio barabara nimeanza kuiona.
Hili senge ni kipofu nini 🤣🤣🤣🤣🤣Show me a Hiace in this picture I posted.
View attachment 2939248
Huenda tuanajadiliana na watu wasiojielewa
Hii Arusha stadium is one of the ugliest designs i have ever seen. I doubt hata kama itafika level ya Bukhungu.
Sema tu hujui Hiace ni gari aina gani bongolala badala ya hizi slideshows. It's impossible to know everything under the sunWhether its a Hiace, Nissan Urvan,Caravan it's a minivan we call them Kipanya. Banned ages ago. Tell me it's not 30yrs old coz I know in Kenya you only use brand new cars.
Hahahahaha!! Umemaliza kuosha vidonda?Hii Arusha stadium is one of the ugliest designs i have ever seen. I doubt hata kama itafika level ya Bukhungu.
Angalia hii mbuzii. Eti nisijue Hiace ni gari gani. Nyie Wakenya kwenye hii thread kama hamjatoka vijijini mmekulia kwenye umaskini sana. Kuna mpumbavu mwenzio humu alikuwa anasema kuna mtu hajui router ni nini? SMHSema tu hujui Hiace ni gari aina gani bongolala badala ya hizi slideshows. It's impossible to know everything under the sun
Hebu ngoja twende taratibu huyu ni ww au kuna MTU Ali hack ACC yako?? Naomba jibu Kwanza alaf tuendelee🤣🤣🤣🤣Kama hiyo picha ni ya 2006 hizi hapa pia ni 2006?
View attachment 2939217View attachment 2939218
Nauliza hivyo kwa savabu mnaosisitiza hamna magari kama hizo Dar Kwa sasa.
Si mnaona mlivyo wajinga?
Hawa hawajuangi majina ya magari. Wanangoja utaje jina alafu google kuisearch and thrn thry come kupingana na wewe ni kama wanajua anything kumbe ni watu nunge. I saw it yesterday when I mentioned Nissan Dualis, the likes of Ichoboy walikimbilia google kujua hiyo ni gari gani.Sema tu hujui Hiace ni gari aina gani bongolala badala ya hizi slideshows. It's impossible to know everything under the sun
Tumewajibu Nyangau vizuri sana.Kaa mbali na Tanzania aisee linapokuja suala la designing, hii sasa ndio the most modern stadium in East West and north Africa, kiwanja hiki kilistahili kuhost World Cup kule SA, quality yake ni ya hali ya juu sana 🇹🇿🔥🔥
View attachment 2939307View attachment 2939308View attachment 2939309
Comment ya kukata tamaa hii, keshapagawa maskini ya Mungu, hii upper cut inafanana na ile ya SGR, Tanzania sio Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii Arusha stadium is one of the ugliest designs i have ever seen. I doubt hata kama itafika level ya Bukhungu.