Alafu matokeo ni kuwa na mitoto inayoclaim kila kitu cha Tanzania ni chenu?Our taxes are used to educate our children thats why we spend over $5b yearly on the education sector while tanzania spend barely reaches $2b
Kwahio hilo tangazo ndio reference yako? Hujui magari uwe unakaa kimya tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 Hii sura ukiangalia unahisi anajua nn zaidi ya kuvuka Barabara tuKwahio hilo tangazo ndio reference yako? Hujui magari uwe unakaa kimya tu.
Mpumbavu wa Ukoo wa Sadima, elimu yenu ya Bajeti kubwa inazalisha jitu kama hili alafu unakuja kujisifia.
Utakuta hawaoni motive ya kupushiwa bali watakuja humu na Adjectives mara Naturalizing Unit, one of kind.Kwasababu waende wakafe maana America anawaona wakenya kama kondoo
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1769472526764404998?t=H7oz6iPjsxSIx1qzzj7nAw&s=19
Kwahio hilo tangazo ndio reference yako? Hujui magari uwe unakaa kimya tu.
Hey toilet boy. Nimekuambia tofauti Iko kwa grill, ama hata hujui grill ni nini?Tazama unipe tofaut chizi wewe 🤣🤣🤣
View attachment 2937963
Weka Public Projects kijana. Mboa unaongea vitu vya kitoto? Au weka GTC na render ya Uwanja wenu. Kunajamaa yangu hapa anataka kucheka kidogo. Hebu fanya hivyo chapHey toilet boy. Nimekuambia tofauti Iko kwa grill, ama hata hujui grill ni nini?
Unafurahisha sana..
reference yako ni post ya mtu (kashiba zake huko anatafuta hela ya bia) badala ya kupata reference ya manufacturers wenyewe
Dualis zimeanza kutoka Dec, 2006
Just Google utaonaNionyeshe waziri wetu akiomba msaada.
Huwezi juwa, ile coordination ilikuwa si kitoto, unaweza kuta na yeye alisharambishwa dawa ya kuwa zombie au naye ni wale wale. Wale wote heavyweight waliokuwa karibu na Magu ambao aliwaamini kama Kijazi na Shariif Hamad waliondolewa, including godfather wake (Mkapa). Ndiyo maana nilihoji hapa jana, kwa nini mkewe hakuwepo? Kauli ya Magu kusema nirudisheni nyumbani ilikuwa ni code kuwa siwaamini hawa madaktari.Mabeyo kishule sio kam Mwamunyange, inaweza kuwa ni moja ya shida. Maana yuko kama kondoo flani anapelekwa pelekwa.
Kuanzia wazo mpaka mipango yote ya BRT ilifanywa na serikali ya Mkapa. Kikwete, Magufuli na Samia ni watekelezaji tuu.Enzi za mkapa indeed. Naona hata brt mlijenga enzi hizo za mkapa
View attachment 2937415View attachment 2937416View attachment 2937417
Why do you guys like living in denial??
Project started 2003 gari imetoka 2006. Kwa akili yako project ianze 2003 gari itatoka same year? Halafu unarukaruka tu.
Hii ni zamani. Hio ni Msimbazi street before brt background unaweza kuona round about kwenye junction ya Msimbazi na Uhuru street sasa hivi haipo.Hapo sio mjini kaka blaza. Hapo ni kilimani.
Kwa kukujibu tu, naomba unuambie hizi zenu zinafanya nini mjiniView attachment 2937410
Mkuu kwa heshima yako achana na huyo mtoto, hakuna kitu anajua, huyo ni shamba boi magari kaanza kuyaona hapo Nairobi alivyokuja na gari la mkaa kutoka mijworeni huko countryside. Nimesoma sources nyingi kuhusu Nissan dualis, first generation ya hiyo gari it was introduced to the local market in 2006, second generation 2014, na latest generation ni 2021 .. hii source ni 👇"Everything You Need To Know About The Nissan Dualis: Reviews, Specs & Pricing | Driva" Everything You Need To Know About The Nissan Dualis: Reviews, Specs & Pricing | Driva.Project started 2003 gari imetoka 2006. Kwa akili yako project ianze 2003 gari itatoka same year? Halafu unarukaruka tu.