Wacha tuongezee nyama ili wajue hiyo hospitali imetokea wapi.Hio sio KAZI yangu ila navojua mm serekali ina ubia kwenye hospital hio na 1971 ilichukua hio hospital na baadae wakarudishiwa kanisa ila still bado serekali inamkono wake na pia bado inatazamwa na serekali na inapangiwa budget na wizara
Kwa ground it’s just as real as this musician illustrates in this music videoBora hizo daladala kuliko fuso za ng'ombe mnazopanda.
Usafiri Dar es salaam haujitoshelezi kwa sababu ya idadi ya watu waliopo.
Achana nao hao, haina haja yakubishana na MTU anakua kubwa jinga tunaongea mambo ya msingi anaanza kuleta udini SASA Huyo mtu hawez kua na akili timamuWacha tuongezee nyama ili wajue hiyo hospitali imetokea wapi.
Ingekua ina full private ownership isingepewa ruzuku kila mwezi ya kuiendesha toka wizara ya afya takriban 1 billion tzsh na serikali isingekua inalipa mishahara wafanyakazi wa KCMC.
Mbona hilo halifanyika private hospitals zingine za huko Kilimanjaro??
View attachment 2936719View attachment 2936720
Mkuu unapigia mbuzi gitaa.Najaribu kukuonesha kua bado serekali inaubia mkubwa na hio hospital na ndio maana hata kwenye budget ya wizara hio hopital IPO SASA ondoa mawazo kudanganya watu kua serekali haihusiki kwenye hospital hio ondoa hio uchafu🤣
Music video 😁😁😁😁Kwa ground it’s just as real as this musician illustrates in this music video
View: https://youtu.be/lN2V93xElwY?si=MSA20M856Li9Yq36View attachment 2936724View attachment 2936726View attachment 2936727View attachment 2936728
Ulitaka aigize nini?Kwa ground it’s just as real as this musician illustrates in this music video
View: https://youtu.be/lN2V93xElwY?si=MSA20M856Li9Yq36View attachment 2936724View attachment 2936726View attachment 2936727View attachment 2936728
Alitaka aigize eti yesu ninyandue alaf anakatika amevaa pampers 🤣🤣🤣🤣Ulitaka aigize nini?
Usafiri Dar es salaam bado hautoshelezi.Kwa ground it’s just as real as this musician illustrates in this music video
View: https://youtu.be/lN2V93xElwY?si=MSA20M856Li9Yq36View attachment 2936724View attachment 2936726View attachment 2936727View attachment 2936728
Kwa ground it’s just as real as this musician illustrates in this music video
View: https://youtu.be/lN2V93xElwY?si=MSA20M856Li9Yq36View attachment 2936724View attachment 2936726View attachment 2936727View attachment 2936728
Similar design to the Royal surbubs 2 project by Tsavo
Agreeing to Operation Costs doesn’t mean GOT owns the hospital!Wacha tuongezee nyama ili wajue hiyo hospitali imetokea wapi.
Ingekua ina full private ownership isingepewa ruzuku kila mwezi ya kuiendesha toka wizara ya afya takriban 1 billion tzsh na serikali isingekua inalipa mishahara wafanyakazi wa KCMC.
Mbona hilo halifanyika private hospitals zingine za huko Kilimanjaro??
View attachment 2936719View attachment 2936720
Serikali inatambua ni private hospital. Accept and move on.Najaribu kukuonesha kua bado serekali inaubia mkubwa na hio hospital na ndio maana hata kwenye budget ya wizara hio hopital IPO SASA ondoa mawazo kudanganya watu kua serekali haihusiki kwenye hospital hio ondoa hio uchafu🤣
Dude I didn't say government owns the hospital but I do mean that government has authority on that hospital based on the running cost and historical facts of establishment of that hospital.Agreeing to Operation Costs doesn’t mean u own the hospital!
What authority? Hiyo board membership ni 4 ETC to 3 GOT! Management ya ile hospitali ni tofauti kabisa na government owned!Dude I didn't say government owns the hospital but I do mean that government has authority on that hospital based on the running cost and historical facts of establishment of that hospital.
Case closed bro.
Ova.
Umepigwa kama punda na Geza, nilikuambia unionyeshe public hospitals lakini naona umekosa. 😂 😂 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Ona hii mbusi ya chocolate city.
Onesha wapi nimenyoroshwa.
hehehe.....b ara t ni ushuzi tu. kwa ground vyuma vimekaza....imagine kujazana kama sardines ndani ya daradara *daladala in the sweltering dar heat 🤣Kwa ground it’s just as real as this musician illustrates in this music video
View: https://youtu.be/lN2V93xElwY?si=MSA20M856Li9Yq36View attachment 2936724View attachment 2936726View attachment 2936727View attachment 2936728
Unakaza fuvu kama huyo unayemshabikia??Umepigwa kama punda na Geza, nilikuambia unionyeshe public hospitals lakini naona umekosa. 😂 😂 😂
Unaelewa nini maana ya authority??What authority? Hiyo board membership ni 4 ETC to 3 GOT! Management ya ile hospitali ni tofauti kabisa na government owned!
nice song thoughKwa ground it’s just as real as this musician illustrates in this music video
View: https://youtu.be/lN2V93xElwY?si=MSA20M856Li9Yq36View attachment 2936724View attachment 2936726View attachment 2936727View attachment 2936728