Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Young Kenyans are very creative and doing big … I don’t think there is anywhere else in sub Saharan Africa where real estate sells that fast.. even the new sister city to Tatu is 70% sold out…watu wana pesa jamani…
I know of someone from USA who just finished paying for her unit....around ksh 8.9 million
 
Nope!… they are reacting to Kenya’s scrutiny..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Exactly. Halafu wamefichuliwa uchi. Their media normally is banned by the government from reporting such issues to manipulate them. Ukichunguza utagundua it's mostly foreign media reporting about this. Hawa msaada wanapata yearly but Siisiiemu hawakubali ireportiwe.🀣🀣
 
Umenyoroshwa kama mbwa. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kwahiyo kitengo cha cancer majengo na machine gharama yake ni Tshs 4 bln! Wacha upumbavu! Wacha upumbavu wa kulazimisha vitu, serikali haikatazwi kuanzisha hospitali yake kama ilivyoanzisha Mawenzi na Pia kuanzisha hicho kitengo pale Mawenzi!

Ila ile hospitali si ya serikali Tena Nyerere alichelewesha sana mipango ya KCMC na BUGANDO Kuwa vyuo! Sio kila kitu unajua mzee! Nina uhakika kama serikali isingeirudisha KCMC kwa kanisa chuo na Hiyo Taasisi visingeanzishwa!
 
Serekali inaekeza VP kwenye hospital private?? Ww uliskia wapi serekali inapanga budget ya wizara na hospitali private ikawepo kwenye budget??

Mzee unazeeka Vibaya kumbe nilikua namjua uzee ni busara kumbe nimesahau na wendawazimu pia wanazeeka🀣🀣🀣🀣🀣

Huwez kuita hospital private wakat serekali inaubia kwenye hospital hio na pesa za ruzuku zinatoka kwenda hospital hio kama hospital zingine za serekali
Hata bugando yenyewe ina ruzuku na ubia kutoka serekali kuu

Akili ndogo haiwez kuongoza akili kubwa nimemaliza 😁😁😁😁😁
 
Upeo mdogo ndo unakufanya usielewe! Mkuu wa KCMC si wizara Bali askofu wa Lutheran church! Halafu hospitali inaitwa Kilimanjaro Christian Medical Center halafu bado unabisha! Tangu lini Hospitali ya serikali ikaitwa Jina la Taasisi ya kidini? Serikali inasaidia kulipa mishahara kwavile zile hospitali zinahudumia watu wote na ni mbadala wa hospitali serikali ilitakiwa ijenge!

Fananisha na Muhimbili
 
Inaonekana wewe ndio unajua kuliko serikali. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Sawa Waziri wa Afya aka Toilet Boy aka Mwarabu Bandia.

 
Upeo mdogo ndo unakufanya usielewe! Mukunza wa KCMC si wizara Bali askofu wa Lutheran church!

Fananisha na MuhimbiliView attachment 2936688
View attachment 2936687
Huoni member government hapo 😁😁😁
Yani sijui hata unabishana kitu gani mzee huwezi kusema Airtel inamilikiwa na Airtel kwa asilimia 100 wakat serekali ina share 49%

Ndio maana nikakwambia sijakataa inamilikiwa na kanisa lakini haibadilishi maana kua serekali sia mbia kwenye hospital hio kama ilivo bugando same issue

Ndio maana zimekua ni referral hospitals chini ya usimamizi wa serekali hata kwenye budget ya wizara hospital hzo zipo zinaangaliwa na serekali

Simple and clear 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…