Hazikujengwa kwa ajili yenu kwann unaziwaza sana?yes zko dope na ndio maana zinawawasha sana, mkumbuke zile ni nyumba za mashirika ya umma na ziko full occupied ata serikali ihame there will be no any problemNongwe wewe sasa ju mlijenga majengo matatu mkajidanya tunatoshana
Nipe example ya kitu kimoja tu amefanya zaidi ya kuchochea wajaluo wenzake iliwahalibu mali za wakenyahuoni vile vitu anafanya hata kabla hajawa rais?.[emoji23]
Ukabila hautaisha kenya. Yaani mnatajana kwa makabila hii ni mbaya sana. Kwahiyo wajaluo siyo wakenya!!? Kwanini isimtaje yeye kama yeye pasipo kumtaja kwa kabila lake?Nipe example ya kitu kimoja tu amefanya zaidi ya kuchochea wajaluo wenzake iliwahalibu mali za wakenya
povu ni la nini sasa sijakwambia uniletee kamusi nzima ya majengo ya dar?kitu nilikua nataka ukumbuke ni eti hayo majengo mmejanga juzi tu wakati sisi yamekua huku toka jadiHazikujengwa kwa ajili yenu kwann unaziwaza sana?yes zko dope na ndio maana zinawawasha sana, mkumbuke zile ni nyumba za mashirika ya umma na ziko full occupied ata serikali ihame there will be no any problem
PSPF 2towers 153M each 35flr×2
TPA 40 FLR
LAPF 30FLR
PPF UC 35FLR
MNF 30FLR ×2 Already toped off
Mzizima towers 35flr,33flr uc
Others towers Rita tower 30flr
Izo Ndio towers buddy sio maneno maneno mingi
Ila ndio ushangae mmebaki nyuma ndani ya muda mfupi ....povu ni la nini sasa sijakwambia uniletee kamusi nzima ya majengo ya dar?kitu nilikua nataka ukumbuke ni eti hayo majengo mmejanga juzi tu wakati sisi yamekua huku toka jadi
Sasa nishangae kwa nini?wakati sisi ndio tunajenga majengo marefu afrika nzima kwa wakati huu.sasa itabidi mtulie mjione mambo yanavyo endaIla ndio ushangae mmebaki nyuma ndani ya muda mfupi ....
jipangeni upya ,lmao
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Raila hajawahi kuwa Rais...Huyo mjaluo alishindwa kutoa watu wake kibera wakati alikua PM na mbunge wa langata, sasa ni nini kipya atafanyia kenya akiwa rais
acha ukabila..[emoji23]Nipe example ya kitu kimoja tu amefanya zaidi ya kuchochea wajaluo wenzake iliwahalibu mali za wakenya
True talkhatari! hatari!
Munajenga yakwapi ????😀😀😀😀😀Sasa nishangae kwa nini?wakati sisi ndio tunajenga majengo marefu afrika nzima kwa wakati huu.sasa itabidi mtulie mjione mambo yanavyo enda
Wewe acha ukabila, yani unaonesha unyama hadharani kabisa aisee nyie watu gani sijuiNipe example ya kitu kimoja tu amefanya zaidi ya kuchochea wajaluo wenzake iliwahalibu mali za wakenya
Sema jengo moja refu...majengo marefu yako SA, Na kama ilikua hujui Durban wanaproject ya kujenga tallest tower flr 88 izo ni chai Za kukuzima tu...Sasa nishangae kwa nini?wakati sisi ndio tunajenga majengo marefu afrika nzima kwa wakati huu.sasa itabidi mtulie mjione mambo yanavyo enda
kwan sio watu au???? Ukabila usiulete humu ndani sio mahala pake tafadhaliUsidhani sisi sote tunaomshabikia Raila ni wajaluo.
Cha kushangaza ni kwamba huo mji mchafu ndio baba wenu wa taifa Kambarage Nyerere alitumia kama mfano akiwaambia nyie wabongolala kwamba mkitaka kuona au kwenda ulaya, hakuna haja ya kupanda ndege kwenda ulaya, ulaya iko tu hapa Nairobi. Wakati mmeanza maendeleo juzi, sisi tulianza hizo enzi while you still buried your heads in the sand in the name of ujamaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mji mchafu sana huu
View attachment 640372View attachment 640373