Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Hawana roro basi jamaa roho zinawauma kinoma wakiona chuma zimejaa pale DAR port πππRoro bearth ndio bearth pekee na ya kisasa east and central Africa iliojengwa kwa KAZI ya magari Tu, huku kwetu hakuna fake life π π π π π
View: https://youtu.be/jh5VKyxT8yM?si=mEysDwI4adm5_gkC
View: https://youtu.be/ElEHPL2Y-R4?si=IxAlOwZ5qeS99-J1
Mbona serikali yenu inakubali chakula cha msaada kama hamana njaa? Mbona hawakukataa?Empty talker nairobae naona umekomalia eti Tz hatuna misosi. πππ Habari inakueleza wazi kwamba US aid wanajipendekeza kuwaletea watoto wetu wa shule msosi, wewe umekomaa Tz hatuna misosi πππhii inaitwa kutapatapa. Usifosi tufanane we mnuka mavi
Nimemuuliza hapa aseme lini ilitoka ripoti Dodoma kuna balaa njaa kunahitajika msaada wa vyakula??Empty talker nairobae naona umekomalia eti Tz hatuna misosi. πππ Habari inakueleza wazi kwamba US aid wanajipendekeza kuwaletea watoto wetu wa shule msosi, wewe umekomaa Tz hatuna misosi πππhii inaitwa kutapatapa. Usifosi tufanane we mnuka mavi
Umesoma sababu ya huo msaada??Mbona serikali yenu inakubali chakula cha msaada kama hamana njaa? Mbona hawakukataa?
Wewe ni fala wawapi.? πππ Sasa ulitaka wakatae.? Yani utuletee kitonga halafu tukatae.? Taasisi yoyote binafsi ikiwaletea watu zawadi au misaa serikali ni nani ikatae.? Uliskia wapi charities zikikataliwa.? Naona umeendelea kupost hadi charities za vituo vya watoto yatima walizopelekewa na foreigners kwaajili ya Ramadan uki claim eti ni kwasababu Tz Ina njaa πππnikikuita zuzu utakataa.?Mbona serikali yenu inakubali chakula cha msaada kama hamana njaa? Mbona hawakukataa?
Wanatia huruma, wamegeuka makatuni hawana miradi ya maana ya kupost kazi ni empty talk tu. πππEmpty talker nairobae naona umekomalia eti Tz hatuna misosi. πππ Habari inakueleza wazi kwamba US aid wanajipendekeza kuwaletea watoto wetu wa shule msosi, wewe umekomaa Tz hatuna misosi πππhii inaitwa kutapatapa. Usifosi tufanane we mnuka mavi
Jinga sana hawa.Wewe ni fala wawapi.? πππ Sasa ulitaka wakatae.? Yani utuletee kitonga halafu tukatae.? Taasisi yoyote binafsi ikiwaletea watu zawadi au misaa serikali ni nani ikatae.? Uliskia wapi charities zikikataliwa.? Naona umeendelea kupost hadi charities za vituo vya watoto yatima walizopelekewa na foreigners kwaajili ya Ramadan uki claim eti ni kwasababu Tz Ina njaa πππnikikuita zuzu utakataa.?
Sisi tunapost progress za miradi yetu ya kimkakati kila leo while wao hawana come back (taifa lisilo na future) ππ wanatafuta vijisababu ili waonekane relevant ππ hii battle Ilishapoteza maana muda sana kwahyo tutarajie pumba nyingi sana kutoka kwaoWanatia huruma, wamegeuka makatuni hawana miradi ya maana ya kupost kazi ni empty talk tu. πππ
watu wa "real life" wanapokea msaada...
Ona huyu mwingine kaja kwa kukurupuka.watu wa "real life" wanapokea msaada...
Wakiangalia miradi inayoendelea Tanzania halafu waangalie miradi inayoendelea kwao failed state wanabaki tu kuandika pumba.Sisi tunapost progress za miradi yetu ya kimkakati kila leo while wao hawana come back (taifa lisilo na future) ππ wanatafuta vijisababu ili waonekane relevant ππ hii battle Ilishapoteza maana muda sana kwahyo tutarajie pumba nyingi sana kutoka kwao
Who is Emmanuel Mwita? π π π π
Ni mtanzania aneishi Tanzania na uzuri wa Tanzania huwez sikia MTU analalamikia kukosa chakula never ever π π πWho is Emmanuel Mwita? π π π π