The same way mnajipiga kifua na SGR ambalo halijaanza kutumika mkicheka kenyan SGR inayobeba mamilioni ya watu kila mwaka kwa miaka minane sasa πππIanze mara ngapiπ€£π€£π€£π€£ basi njoo uianzishe wewe
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1768309901632184699?t=OWSvyytMHMzZoBUcXARgFg&s=19
View: https://twitter.com/Nishati2017/status/1768315751369236668?t=t1t0t1XdRCZYFsHslzrKtw&s=19
Matumaini gani wakat tunajengwa over 1500km of modern electric SGR with European standards π€£π€£ ww unaongelea SGR gani wakat SASA tunaanza majaribio kwenda morogoro over 722km completed huku phase zingine ujenzi ukiendeleaThe same way mnajipiha kifua na SGR ambalo halijaanza kutumika mkicheka kenyan SGR inayobeba mamilioni ya watu kila mwaka kwa miaka minane sasa πππ
Solar power iliunganishwa kwenye power grid na imetumika miaka na mikaka Kenya ila Tanzania wanatembea kifua nje kwa kuwa wamelaunch construction ya solar power leo , maajabu hayaπππ
Hivi wewe nyang'au unaumia ukiwa wapi?πThe same way mnajipiha kifua na SGR ambalo halijaanza kutumika mkicheka kenyan SGR inayobeba mamilioni ya watu kila mwaka kwa miaka minane sasa πππ
Solar power iliunganishwa kwenye power grid na imetumika miaka na mikaka Kenya ila Tanzania wanatembea kifua nje kwa kuwa wamelaunch construction ya solar power leo , maajabu hayaπππ
Mnasemanga hakuna roro Kenya acha nikuonyeshe vile Ghost inashuka kwa roro vessel
M5Bmw x7 2023
View: https://www.instagram.com/reel/C2ocD7WNUoE/?igsh=bHJiemZuYmF1dGo4
View: https://www.instagram.com/p/C2gp4ycNaNz/?igsh=c2FhdWQzNGFkY3Fj
View: https://www.instagram.com/reel/C2fVxdKNaAu/?igsh=MWl4dXc5czJndjM3cQ==
View: https://www.instagram.com/p/C1CTxc4KQim/?igsh=MWYxYTVocjNqcGRzdg==
Hio haijafunga kwenye original roro bearth inafunga kwenye container bearth na ushahidi upo π π π π Mombasa hakuna roro bearth hata kama inakuuma ndio ukweliMnasemanga hakuna roro Kenya acha nikuonyeshe vile Phantom inashuka kwa roro vessel
View: https://www.instagram.com/reel/C4SycqnMTvy/?igsh=bzFxOW1iMTk3aG1r
Wacha wee π π π π M5 2023
Victor and Vincent.....and the other crew Liv Kenya.Kuna fala aliskia that Kenyans are exploring Africa by road akaanza kutuletea mambo ya mabasiπ
View attachment 2934484
Sasa aje mkenya atuoneshe wacheza rugby wao walioleta maendeleo kwao nitoke humu
Uko sure utawezana kwa luxury cars kweli
Naona magari ya 1994 ndio kuwasili, brand new second hand ππHio haijafunga kwenye original roro bearth inafunga kwenye container bearth na ushahidi upo π π π π Mombasa hakuna roro bearth hata kama inakuuma ndio ukweli
Munatumia container bearth kushusha magari lakini sio roro bearth yenyewe kama hii ya dar never ever
View attachment 2934808View attachment 2934809View attachment 2934810