REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,690
Mi sina historia ya kufeli kokote wala kuscore C somo lolote. Makamba aligonga 4 HGL ndani ya Forest Hill. Makobazi na itikadi za NATO ndio zinakusumbua.Kiingereza chako kibovu humfikii Makamba!
Yeah, tulienda AFCON tukabaka Tanzania bao tatu.mumewahi kwenda AFCON? tuanzie hapo hatushindani na viande sisi.
So in short entire Tanzania only have 40% electricity connectivity?
Hizi propaganda zilifanikiwa kuenea kwakua kikundi cha waathirika ndani CCM kiliidhinisha usambazaji wa mambo haya na kinaendelea kufanya hivyo mpaka leo.Kwanza corona yenyewe haikuua kivile, walikuwa wana label mtu yeyote akifa (hata kama aligongwa na gari), wanasema ni corona ili kutengeneza hofu... baadae walete chanjo. Corona ilitengenezwa kwaajili ya chanjo, Magu alishtukia mchezo, toka kwenye vipimo, idadi ya maambukizi, mpaka kwenye lock downs. Unakumbuka aliporuhusu ligi kuanza, watu wakajaa uwanjani na hawakufa. Aliwaumbua sana, the globalists, hawakupenda.
This is multi nation training at the peace and security center…You fail again!..🤣🤣🤣
Hii ni Temeke mwisho.Enzi za Mwinyi kulikua na mark x na number plates za TD 👇 👇 😂 😂
The vicinity around the stadium is the great reason this will be the home field of AFCON… opening na finals ni hapa…no way CAF will expose Africa to a world embarrassment of tv cameras zooming onto Uswazistan…else KOT gang will expose Mkapa stadium surrounding 🤣🤣🤣🤣Polepole tu utazoea. 😂😂😂 Kazi inaendelea.
View: https://x.com/AbabuNamwamba/status/1766725753620566081?s=20
As usual you play second fiddle to Kenya in everything…. Hii mambo tulifanya 2021 …Our beloved soldiers in DRC😍 wakiwa wanawafundisha wanajeshi wa DRC. wanaonekana wako very friendly to each otherView attachment 2933596View attachment 2933592View attachment 2933594View attachment 2933595
Sure 😂Tag me his tears ..🤣🤣🤣
PoleeeeAfter examining the situation, I have decided to prescribe a dosage of two pictures per day.
2×1
2×1
View attachment 2933709View attachment 2933707
Mzee Kenya drinking force ilikufukuzwa DRC 😂😂😂😂As usual you play second fiddle to Kenya in everything…. Hii mambo tulifanya 2021 …
View attachment 2933721View attachment 2933723