Polepole tu utazoea. πππ Kazi inaendelea.Kiherehere cha kuanza kutuonehsa render ya kiwanja mnaitoa wapi? Au ndio ushamba wa wakenya. Mashindano ni mwaka 2027. Ruto anataka kuwachota akili π€£ π€£ π€£
Najua na ndio maana tunajenga stadium mpya. Nimekuuliza mumewai shinda game gani AFCON?Umeshindwa kujibu swali simple tu nikikuuliza magumu utaweza? Unajua kuwa AFCON ni 2027
Kutokea 2024 mpaka 2027 ni miaka mingapi? Kwanini mnachotwa akili na Ruto nyie ni wa wajinga?Najua na ndio maana tunajenga stadium mpya. Nimekuuliza mumewai shinda game gani AFCON?
Mkimaliza kujenga uje tuongee. Lakini kwa sasa undelea kubwabwaja tu π€£ π€£ π€£ π€£ Nina uhakika Mama Ngina yupo na 20% yake.Polepole tu utazoea. πππ Kazi inaendelea.
View: https://x.com/AbabuNamwamba/status/1766725753620566081?s=20
Kama tulijenga 27km expressway na mwaka moja unusu. Sasa stadium ndio unaona itatushinda.Kutokea 2024 mpaka 2027 ni miaka mingapi? Kwanini mnachotwa akili na Ruto nyie ni wa wajinga?
Issue siyo kujenga mwaka mmoja bali ushamba unawasumbua. Issue inategemea kufanyika 2027 leo unatupigia kelele? π€£ π€£ π€£ π€£ Nchi yenu haina utaratibuKama tulijenga 27km expressway na mwaka moja unusu. Sasa stadium ndio unaona itatushinda.
Kazi inaendelea.ππ We will be there to watch your tears siku ya ufunguzi. πππ
View: https://x.com/CireIuhtigMinds/status/1767462590232314367?s=20
I have bookmarked this. I will revisit when you will be swallowing your tears.Issue siyo kujenga mwaka mmoja bali ushamba unawasumbua. Issue inategemea kufanyika 2027 leo unatupigia kelele? π€£ π€£ π€£ π€£ Nchi yenu haina utaratibu
Unaongea nikama 2027 ni next year. π πIssue siyo kujenga mwaka mmoja bali ushamba unawasumbua. Issue inategemea kufanyika 2027 leo unatupigia kelele? π€£ π€£ π€£ π€£ Nchi yenu haina utaratibu
Unatuona wajinga? Personally nilikuwa huko kwenu December najua kile niliona
What about these guys ,''medieval warriors.k
lol..two rag tag armies ..no difference.both ldc countries
Nathani unamatatizo katika Comprehension. From 2024 to 2027 ni miaka mingi sana. Kwanini mnatupigia kelele leo na render? π€£ π€£ π€£Unaongea nikama 2027 ni next year. π π
Kunyaland ni ghetto state kila member ni gangster hakuna order they only come to senses kwenye tribalism useme hapa si pa mkikuyu ni pa kalenjin ndio utaoneshwa ukweliKitu nilicho gundua gok inabariki uongo kama mtu anasimama anasema Olduvai George ipo kundustan kwenye mkutano inamaana gok ilikuwa inafaham viongozi wao wanawadanganya hata wananchi wakidanganya gok haini tatizo hiv huku Tanzania unaweza kusimama kwenye mkutano useme kitu flani kipo Tanzania nawakati unafaham fika kuwa ni uongo halafu GOT ikuache salama ukimaliza tu kusema pingu zinakusubiria
Tag me his tears ..π€£π€£π€£I have bookmarked this. I will revisit when you will be swallowing your tears.
Tag me akijibu ..π€£π€£π€£Najua na ndio maana tunajenga stadium mpya. Nimekuuliza mumewai shinda game gani AFCON?
Hasa huyu Bibi Titi ππππ€£π€£ Kumaayee Hawa nyumbu ni waongo kufa mtu uzuri wabongo sisi humu tunawajulia wakija kifala wanakula vitasa mpaka wanaanza kulalamika ,ooh mara sijui tupo wachache,ooh hatupendwi Sasa upendwe akati unaongea pumba
π€£ π€£ π€£Unatuona wajinga? Personally nilikuwa huko kwenu December najua kile niliona
View attachment 2933657View attachment 2933658View attachment 2933660
Imagine nyie KDF ndio lingekua hapo, ungetembea uchi, Training tu ya USA mnajifanya ni nyie, hapo je ingekuaje?k
lol..two rag tag armies ..no difference.both ldc countries