Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So now you have moved the goalposts…. 🤣🤣🤣🤣… unaluka mpaka angani kuhepa…🤣🤣🤣🤣
KDF = Kenya Drinking Force. Viuno kama nyigu 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇

1710187283159.png
 
Ebu leta hiyo ripoti ya 2024 tuone. As far as I know Tanzania only have 8,881 Health Facilities while Kenya has 16,517. That's double of all health facilities in Tanzania.

For Hospitals Tanzania only have 414 while Kenya has 984. Still more than double.
Dooh
Halafu sasa ujue kwamba 60+% ya hizo health facilities kwa Tanzania ni government owned.
Sio kama Kenya nyingi ni private owned.
It means Tanzanian citizens we do have easy access to health services.
Screenshot_2024-03-10-23-02-09-45_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom