Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa kuokota picha za Google na Sisi hua tunafurahi vile mukijidanganya alaf baadae munashtuka kumekucha kama vile tandale unavoigopa😂😂😂😂 Asante kwa kuokota picha Google na Sisi hua tunafurahi vile munavojidanganya alaf baada munashtuka kama vile tandale ilivokufunga mdomo sisikii ukiitaja kabisa tandale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haya sio makazi ya kuishi binaadamu hata nguruwe hawezi kuishi humu ndio maana Kenya ndio nchi inaongoza kwa worse slums on planet 😂😂😂😂😂😂 Au nasema urongoo bisha tuone sasa Nicxie

 
Pain successfully delivered to refugee camp.
 
Zoom hapo utuoneshe slum ambayo mzungu hajawahi kuona ila wewe ndio umeona zoom hapo tuone slum🤣🤣🤣🤣🤣

Yani ww uwe na akili kuliko mwenye Google earth 😃😃😃😃😃
70% of Dar is slums.
 
70% of Dar is slums.
Sijawah kuskia ikitajwa kwenye worse slums on planet sijawah na haitatatokea mpaka dunia itasimama🤣🤣🤣🤣🤣

Sijawah kuona hata Google earth imeonesha mfano wa slum ndani ya dar na hutaipata mpaka kiyama 😂😂😂😂😂😂

Haimaanishi Nairobi kua slums za kutisha basi mukadhani dunia nzima ina slums never ever

Kataa na hii media yenu sasa 😂😂😂😂

Tuko News
Tuko News - Breaking News, Kenya News, World News Today › 342125-1...
10 biggest slums in Africa 2020
 
Ghorofa za four floors ndio zinwashtua. 😂 😂 😂 Enyewe muko nyuma kama matako.
Wow kumbe umefungua video mm nikajua hutoifungua umeona sinza ilivokua modern kila Kona kuna lami ya viwango, maduka ya kisasa mall za kisasa, magorofa ya kisasa, night clubs za kisasa, residential areas za kisasa kabisa, barabara zote clean hakuna kopo wala uchafu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Na bado inajengeka kila Kona sinza na ukumbuke sinza iko over 12km from CBD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…