Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo watu wameamini Bongo hakuna stadia. 🤣🤣
Wewe mpiga nduru, hadi kufikia leo Tz iko na stadia mbili zenye ni CAF approved standards (tunaweza Host Afcon humo hata hayo mashindano yakianza leo jioni) , kenya iko na viwanja vingapi so far vyenye vina qualify CAF standards.? 😂😂 Wewe jamaa ni empty talker as usual
 
Mansion ina tofali za kuchoma angalia Kwanza madirisha Tu yalivokaa utasema madirisha ya jela😂😂😂😂
Halafu huyo ****** wake anakwambia yeye analipa Kodi nyingi angekua bongo angefaa kuishi ikulu 😂😂😂😂 nilijua huu upuuzi ni wa mwaiofhawaii mwaisa Sadima Dickson, mpumbavu wa ukoo wa Sadima pekee, mwenye anasema anajenga nyumba yenye maana kuliko top luxurious mansion in EA 😂😂😂 kumbe huo ufala ni wa taifa zima 😂😂 nimejifunza kwamba hawa mbwa hawajui chochote kuhusu East Africa's development..
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Karibu sana mkuu
 
Mwambie akuoneshe CAF standard Kenya nzima akipata Tu nitag 😂😂😂😂😂😂

Tanzania sio Tu CAF standard ni mpaka FiFA standard Yani wakenya ni watu wa ajabu kwenye dunia hii
 
Wanasiasa wao walishawashika maskio wakawaaminisha kua wao wako mbele zaidi Africa nzima Yani wao wako level za Singapore njoo sasa kwenye ground, Burundi ina nafuu kubwa Sana 😂😂😂😂😂😂😂
 
Mabati Rolling Mills is empty as usual. No wonder it only handles 1M passengers kwa mwaka mzima wakati JKIA is doing 11M.
 
Yaani ufanisi wa dar port na Uganda kutaka kupitisha mafuta Tanzania inawatia hofu ya kuharisha wakenya
 
Hakuna kitu kibaya kama kulishwa matango pori ukamini kuwa ndio matango au ukaambiwa kuwa kenge ni mamba na ukamini hivyo ndivyo kundustan walivyo
Wanasiasa wao walishawashika maskio wakawaaminisha kua wao wako mbele zaidi Africa nzima Yani wao wako level za Singapore njoo sasa kwenye ground, Burundi ina nafuu kubwa Sana 😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…