President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,373
Dar Es Salaam Maritime Institute
Bukhungu progress. 60%Incoming Bukhungu Stadium
![]()
Wapo ndugu yangu. Kuwaweka public kwa sasa Chawa ni wengi sana na wanapiga kelele mno kuliko utendaji kazi.Hivi Venus Star unafikiri CCM tunaweza kupata watu wakujitoa kama Magufuli ndani ya miaka 20 ijayo? Maana kwa nchi yetu ni lazima mtu ajitoe kafara kama kweli tunataka kuitoa nchi.
Hivi Venus Star unafikiri CCM tunaweza kupata watu wakujitoa kama Magufuli ndani ya miaka 20 ijayo? Maana kwa nchi yetu ni lazima mtu ajitoe kafara kama kweli tunataka kuitoa nchi.
Mnasonga mbele kwa negative points 🤣🤣🤣Vile mambo inasonga, Kenya might be able to handle AFCON by ourselves. Hawa manugu wengine wakizubaa tutanyakua fursa.
Naelewa..Wapo ndugu yangu. Kuwaweka public kwa sasa Chawa ni wengi sana na wanapiga kelele mno kuliko utendaji kazi.
Hii tayari imeshaonekana na madhara yake tumeyaona. Kujisahihisha ndio jadi yetu.Naelewa..
Unajuwa haya mambo ya nepotism, yanaleta aina fulani ya uongozi wa nchi ambao unakuwa na kasoro fulani hivi, ni kama familia za kifalme, ambapo wanoleana sana mpaka wanakuwa mazezeta. Nepotism haileti damu na mawazo mapya, ni watu wale wale, waliosoma shule zile zile, wakikutana wanaongea mambo yale yale.
www.katiba.co.tz
Hivi viwanja kama serikali ingetoa pesa kidogo kuviboresha kama walivyotoa pesa kujenga zile ofisi za muda za serikali Dodoma, ingekuwa poa sana. Baadhi ya hivi viwanja vingeweza kujiendesha vyenyewe, maana young population inayopenda mpira au matamasha ya mziki ipo.Baada ya week mbili tutaleta design na maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma.
Tutawaletea proposal ya mwonekano mpya wa Uwanja wa Kirumba Mwanza.
Kaeni mkao wa kula.
Ndio kabisa. Tumeona mfano kwenye kiwanja cha Amaan Zanzibar. Wamefanya renovation na kimekuwa poa sana.Hivi viwanja kama serikali ingetoa pesa kidogo kuviboresha kama walivyotoa pesa kujenga zile ofisi za muda za serikali Dodoma, ingekuwa poa sana. Baadhi ya hivi viwanja vingeweza kujiendesha vyenyewe, maana young population inayopenda mpira au matamasha ya mziki ipo.
Kweli tena walikarabati chap chap. Kama watafanya hivyo Kirumba, Ali Hassan Mwinyi, Tanganyika, Mkwakwani na Maji maji itakuwa poaNdio kabisa. Tumeona mfano kwenye kiwanja cha Amaan Zanzibar. Wamefanya renovation na kimekuwa poa sana.
🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 AFCON Stadium from Kenya aka KundustanUwanja wa AFCON Tz huu hapa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
Azam Complex Stadium - TanzaniaUwanja wa AFCON Tz huu hapa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()