Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuuliza unaijua Fiber Network wewe unaleta jibu la subscribers.
There is:
1. Fiber Network
2. Satellite Network
3. Radio Network

Nimekuuliza
Unajua Fiber Network Backbone?
Unauliza swali la upuzi. Majority of fixed internet users in Kenya are connected via a fiber network, FTTH to be precise.
Nimekuambia huwezi niambia kitu with your 80k fixed internet subscribers while Kenya has 1.2 m subscribers. 😂 😂 😂 👇

Screenshot 2023-12-31 092253.jpg

Image
 
Unauliza swali la upuzi. Majority of fixed internet users in Kenya are connected via a fiber network, FTTH to be precise.
Nimekuambia huwezi niambia kitu with your 80k fixed internet subscribers while Kenya has 1.2 m subscribers. 😂 😂 😂 👇

View attachment 2927025

Image
Majority 🤣 🤣 🤣
Ninapokuambia Fiber Network Backbone I mean this:-

1709809198156.png
 
Hata sijui mbona nabishana na watu huzimiwa internet na serikali. 😂 😂 😂 Hata nimewacha.
Ushamba unakuzingua kijana wangu. Ngoja nianze kukupatia Companies zinazotoa huduma ya Broadband hapa TZ. Yaani Fiber.
Baada ya kuwa na Fiber Backbone Network Companies can tap from Backbone and distribute to the citizen

1709809977483.png
 
Tupatie data ya number of subscribers, wacha kulialia, do you even know the top 3 companies with the biggest market share for fixed internet in bongoslum.
Yaani nianze kuzunguka kwenye companies zaidi ya 20 ninawauliza wateja wenu ni wangapi? Are you stupid or something? You are market is monopolized by a single company but in Tanzania is a free market.
 
Nataka leo uanze kuogopa. Soko lenu la kenya lipo monopolized na Mama Ngina 🤣 🤣 🤣

View attachment 2927070
Fixed internet is very expensive in bongoslum ndio maana wengi mnatumia bundles. 😂 😂 😂 Why should anyone pay Ksh 4000 for 20mbps. Ndio maana mkona subscribers kidogo ju majority of you can not afford unlimited internet.
 
Nani kakwambia ni bando? Tatizo lako la ushamba wa ICT usije ukatupigia kelele. Zote nilizokuonesha ni Broadband.
Ndio maana umeambiwa ni MBPS (Megabyte per Second) Wapi nimeweka Bundle? 🤣 🤣 🤣 🤣 Ficha ushamba wako wa Kibera hapa.
 
Yaani nianze kuzunguka kwenye companies zaidi ya 20 ninawauliza wateja wenu ni wangapi? Are you stupid or something? You are market is monopolized by a single company but in Tanzania is a free market.
Our market is formal na ina subscribers wengi ndio maana Communication Authority wakona data, bongoslum kwa informal economy, over 90% wanatumia bundles of course huwezi kua na data.
 
Back
Top Bottom