Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni network maintenance and it doesn't affect the whole county just a small area. Kenya hakuna rationing kama bongo slum.


View: https://x.com/KenyaPower_Care/status/1765035728344424661?s=20

You want to tell me hawaoni tofauti ya hio notice na haya?
1709757857457.png
IMG_9769.jpeg
IMG_9770.jpeg
 
Wakenya muliingiliana na mwambao wa pwani wa Tanga ndipo mkapata kukifahamu kiswahili.
KISWAHILI TANZANIA KILIANZA TOKA ENZI ZA MJI MKONGWE WA KILWA WE KIJANA.
Na kibantu cha asili ya Tanzania ndio kimeshamiri katika kiswahili kwa zaidi ya 68%.
Kiswahili ni lugha sanifu ya Tanzania.
Achana nao hawa nyang’au. Hawana wanalojua. Watakusumbua bure🙂
 
Buda, this is you?
Vile uko na audacity ya kuongea
View attachment 2926635View attachment 2926636
Unajua maana ya kupungua, mgao ulikuwepo yes but kwa sasa umepungua kwa zaidi ya asilimia 80 na ni kwasababu mtambo mmoja wa kwenye dam ushaanza KAZI na mtambo wa pili mwezi ujao unawashwa 😄😄😄😄😄😄😄

Kwa sasa mgao umepungua kwa over 80% na Tanzania ndio itakua kinara wakuuza umeme ukanda huu take it or not
 
Back
Top Bottom