Mkianza Kwikwikwi hua in hoja limewaisha. In these Kenya vs Tz arguments, you should of course follow your heart while arguing, but take your brain with you. Soma hio comment yangu UELEWEKwikwikwikwi naona umeanza kujiumbua mwenyewe. Sasa Rita tower na BOT wapi na wapi. Ukipiga kutokea BOT huwezi kuona mgogo wa jengo la TPA
Tatizo lako unakuwa mbishi wakati hujawahi fikaBasi ni kama toka bandarini hadi kilimani is a very very short distance with no change in height
TPA limeanzia kwenye sea level ni 178
Nilikuwa nalifatilia tangu linajengwa
Ndo wakenya wakaedit
Ata Mzizima Towers ni 171m na 161m wakenya wamebadili to 134m
Na PPF HQ nalo ni 170 wakenya wameedit to 134
MNF ni 145 wakenya wamebadili to 130
Hehehe, mwanchesha kweli. Nanyi basi si mbadilishe, au hakuna chaguo la kuhariri Wikipedia huko bongo?wanabadilisha ukweli kwenda uongo kwasababu kisu cha ngariba kimekita sehemu mbadala😀😀😀😀😀😀
hua hatuna hulka za uongo😀😀😀😀😀 hatuna ujanja wa kipuuziHehehe, mwanchesha kweli. Nanyi basi si mbadilishe, au hakuna chaguo la kuhariri Wikipedia huko bongo?
Ndio maana ninacheka sana. Comment yako haina uhalisia wowote. Eti upige picha toka BOT uweze kuona mgongo wa TPA?Mkianza Kwikwikwi hua in hoja limewaisha. In these Kenya vs Tz arguments, you should of course follow your heart while arguing, but take your brain with you. Soma hio comment yangu UELEWE
Sasa angalia apa ilivyoonesha. Kuna kimteremko kikali tu cha kuingia TPA from the base of TPABasi ni kama toka bandarini hadi kilimani is a very very short distance with no change in height
Yap. The difference looks like 5 or so meters, not 20something meters as your friends patriotically believeHii nayo yaonyesha clear sana tofauti ya zile Nyumba zetu pendwa Ukanda huu
Umeanza kulainika sasa. Nagalia sasa hii picha. Hapa naweza kukubali kwamba imepigwa toka BOT. Siyo hiyo ya kwako. Hahahaha!!!Yap. The difference looks like 5 or so meters, not 20something meters as your friends patriotically believe
Kimteremko kipi mkuu? Waangalia picha nyingine au nini?Sasa angalia apa ilivyoonesha. Kuna kimteremko kikali tu cha kuingia TPA from the base of TPA
5m kwa juu na chini ni about 15m so kuna tofaut kubwa tuYap. The difference looks like 5 or so meters, not 20something meters as your friends patriotically believe
Siku nikienda pale nitapigaKimteremko kipi mkuu? Waangalia picha nyingine au nini?
Hio haijachukuliwa BOT bana, labda useme toka watch tower ya TPA. BOT ipo mwisho wa barabara inayopita katikati ya TPA na PSPF.Ndio maana ninacheka sana. Comment yako haina uhalisia wowote. Eti upige picha toka BOT uweze kuona mgongo wa TPA?
Kwikwikwikwi. Lita tower jengo lake kabla hata ya kufika posta mpya huku BOT yako mbali kabisa karibu na ikulu.
Kwa kuangalia tu utaona BOT yapo kwenye mstari mmoja na TPA huku RITA likiwa nyuma ya PSPF
Halafu RITA lipo maeneo pale ilipokuwa Billcanas club.
Huwa ninacheka sana kwikwikwikwikwi...
I have some questions.Yule jamaa aliesema BOT zinakaribiana na RITA tower nadhani kashaona ni nyumba ziko mbalimbali kabisa...
Kwa mtu ambae amefika apo kwenye izo nyumba ataona namna TPA lilivyona urefu zaidi kidogo sio sahihi kusema majengo marefu ni PSPF
Hahaha yaani ninakucheka sana kufika Dar is not an issue kuijua Dar ndio issue yenyewe. Dar es salaam ni jiji kubwa mno Nairobi inaingia karibia mara tatu. Dar es salaam ina kilomita za mraba 1,393 wakati ka Nairobi 696. Kwahiyo unaweza ukafika Dar na usiifahamu dar ndugu.Hio haijachukuliwa BOT bana, labda useme toka watch tower ya TPA. BOT ipo mwisho wa barabara inayopita katikati ya TPA na PSPF.
Usidhani Dar sijafika, ingawa nikiwa huko hata Hizo TPA na PSPF hazikuwa akilini mwa mjenzi yeyoye.
I like it Kenyan investors and not Kenyan government building Nairobi
Haha Kenyan investors are not a joke they cover all east Africa even in Tanzania they employ thousands.... Foreign investors in Kenya shows that we have a good environment for investment....... BTW Kenya is the biggest foreign investor in TzSo what is the big deal, We are Building our Country ourselves, You are country been built by Investors many from Foreign countries and you brag and Happy.
My citie’s all High rises are 100% Government Owned. Don’t talk like it’s a bad thing.