Hiyo ban imetupililiwa nje even though Gor needs to put its house in orderHzo international matches mutacheza VP wakat hamulipi wachezaji pesa zao??🤣🤣
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1763063706437427237?t=WLhqwbI-hA0lTbEgr2eDsQ&s=19
Soccer ni investment kama huweki pesa KAZI ni kuweka maneno Tu na sifa Tu hakuna kitu utafanya 😄😄😄😄 kila siku utasingizia FIFA ban
Duh! Mifano yako inachekeshaga, kila mkibanwa mnakuja na mifano uchwara, no wonder mnadanganywa in term of comparing, huku linch halielewekiUbaya ni kwamba mnaongea pasi na uelewa. Nyinyi mnaongea tu msifiwe na vilaza wenzenu mitanzania ndio muonekane mabingwa. Hata hapa Africa, Nigeria is a footballing powerhouse lakini ilishawhi pigwa ban na FIFA hadi ikakosa kushiriki mashindano ya AFCON. Swali ni, is Tanzania better than Nigeria in matters football?
Imetupiliwa na Nani?? Mama Ngina au??Hiyo ban imetupililiwa nje even though Gor needs to put its house in order
Endelea kuamini vijana wapumbavu wanatumika kuchafua nchi.Mtawezana na Port ya Mombasa?...warabu washanyakua port hapa..hakuna kusema lolote..
View: https://twitter.com/IAMartin_/status/1764362500772962425
Hakuna kitu watakubali kushindwa 🤣🤣🤣Duh! Mifano yako inachekeshaga, kila mkibanwa mnakuja na mifano uchwara, no wonder mnadanganywa in term of comparing, huku linch halieleweki
these cups involve a hundred teams plus and any football pitch can be used.We dont have to use like one stadium for 100 games like tzTazama Tu Hali ya viwanja Yani utasema wako jangwani, wameparara 🤣🤣🤣
Yani gate la kuingulia moja liko juu jingine liko chini, uwanja mchafu 🙌🙌🙌🙌🙌 vumbi na matope
Eti wazungu weusi chefuuuuuuuu
View: https://twitter.com/kennokaka1000/status/1761871864194822238?t=LsYqyDLwWee9s1lHe84gWQ&s=19
Just answer me brotheee.You don’t have to be bitter just because you dont have any national rugby team 😂😂
Usifananishe Nigeria na hata wewe nguruwe pori.Ubaya ni kwamba mnaongea pasi na uelewa. Nyinyi mnaongea tu msifiwe na vilaza wenzenu mitanzania ndio muonekane mabingwa. Hata hapa Africa, Nigeria is a footballing powerhouse lakini ilishawhi pigwa ban na FIFA hadi ikakosa kushiriki mashindano ya AFCON. Swali ni, is Tanzania better than Nigeria in matters football?
The difference is, we up there among the best in the world in rugby while you are ranked number 119 in the world in football.Just answer me brotheee.
I don't give a damn about rugby.
Just answer me the revenue earned in rugby are they equal to the revenue earned in football??
Mie naombea msimu ujao CAF Gor mahia apangiwe hata Azam Fc preliminary stage ili tuone nani mkali.Danganyeni watu wasiojua mpira, na sio wanaojua mpira..
Kwenye CAFCL, Girl Maria walitakiwa waparticipate lkn waliondolewa sababu ya Madeni na utapeli mliwafanyia wachezaji wa zaman
View attachment 2923797
Kwenye CAFCC, Kakamega Homeboys walishiriki, lkn walikula mkong'oto round ya kwanza ya mashindano (first preliminary round) na katimu ambacho nchi yake ina migogoro kila mara. Na matokeo yake yalikuwa ni haya
View attachment 2923800View attachment 2923802
You are blabbering.The difference is, we up there among the best in the world in rugby while you are ranked number 119 in the world in football.
Wanajificha kwenye kichaka cha FIFA ban!Mie naombea msimu ujao CAF Gor mahia apangiwe hata Azam Fc preliminary stage ili tuone nani mkali.
Tusiwape Simba ama Yanga tutawaua kihoro.
Au hata Singida big star yani.
Wajinga hawa,wanataka kufananisha sababu za Ban ya Nigeria na yao.Wanajificha kwenye kichaka cha FIFA ban!
😂😂😂 Duniani kibera au? Haya post hiyo list inayotaja nyinyi kuwa ni bora duniani.The difference is, we up there among the best in the world in rugby while you are ranked number 119 in the world in football.