FIFA Ban ilikujaje? Nchi serious ya kisoka bila shaka inakua inajua FIFA principles.Hatukunusa because of the FIFA ban. But I can assure that tungeshiriki hayo mashindano hatungetoka bila hata bao moja. Kenya has scored at least a goal and won matches in all Afcon competitions it has participated in. Nyinyi hata hamjui ushindi inatataste aje Afcon, kufunga mabao pia ni shida!!
Watu wanakazana kwenda kucheza top teams za Europe wewe. Uko hapa ukiongelea takataka ya kiafrika inaitwa sijui Caf!!!Ujue hawa wakenya ni vichekesho vya kiwango cha juu sana π€£π€£π€£ nimeipitia hii list ya CAF champions league all time top scorers nimeliona jina la mtanzania mmoja Mbwana Samata akiwa wa 5 na magoli yake 20, vilevile nimeliona jina la Clatius Chama, mchezaji wa simba akiwa wa 7 na magoli yake 18 (19 goals ukiongeza na goli alilofunga jana) ila sijaona popote mkenya au club ya kikenya iliyotoa top scorer of all time in CAF champions league ila wanajidai eti they better than us π€£π€£π€£π€£ πCAF-Champions League - All-time top goalscorers.
Kwani michezo ni soka pekeeHivi wakenya soka lenu mbona haliwiki?
Acha kuliaπWatu wanakazana kwenda kucheza top teams za Europe wewe. Uko hapa ukiongelea takataka ya kiafrika inaitwa sijui Caf!!!
Vitu za amateur players,!
Enyewe hope ya kufika world cup labda 2200.
Huu ndio uchafu unaokuja kuringishia,hivi nyie wa kunyanduliwa ushamba mtaacha lini!Kipchoge Keino Stadium Progress
Si huwa mnasema Kenya Kuna njaa!!
Kwani michezo ni soka pekee
Leo tumeleta medali 4 Kenya
Next weekend tunaleta kikombe ya dunia from Uruguay!!!
Nyinyi endeleeni kuzubaa kikiafrika tu?!!
Tatizo nn kwani?π€£π€£π€£π€£π€£ Hii nchi πππππ
Unazungumza as if unatoka Ghana!Soccer rules the world
Team mbili kutoka Tanzania zimeingia robo fainali CAF champion ndio Taifa pekee kuingiza team mbili robo fainali ww bado huogopi?? π πKwani michezo ni soka pekee
Leo tumeleta medali 4 Kenya
Next weekend tunaleta kikombe ya dunia from Uruguay!!!
Nyinyi endeleeni kuzubaa kikiafrika tu?!!