Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy mimi bado sikuelewi hapo kwa Britam. unajaribu kusema kwamba hiyo kampuni inamilikiwa na watanzania ama ni nini point yako exactly? usiseme tena eti umeleta link coz hiyo link nishaisoma tiyari. hebu niambie unachomaanisha. Lakini kama hauna la msingi ya kusema ni heri tu unyamaze
 
828 - 224 =604m burj khalifa

200 - 60 = 140m britam😀😀😀😀😀😀

am sure umegundua kitu hapo
Yap, I've noticed 3 things

1. The Burj has a larger spire to total height ratio (1 : 3.6) than Britam (1 : 3.3)
2. You went to primary school (not so certain about post primary)
3. You do not even know what you're arguing in the 1st place (OR you do but you're being stubborn due to diminishing facts to posts ratio)
 
That's a typical Tanzanian for you. always shifting goal posts after realizing that he has no poibt to put across. At the end of it, you'll even be wondering what exactly you were debating about.
 
asante pumzika bro urefu wa burj khalifa without sphere ni mara nne na nusu ya urefu wa britam😀😀😀😀
yani na ujinga mlionao kila jambo munataka mufanane na wengine
 
Kisha sijui ume edit Wikipedia mbio mbio kujitetea ama nini. How can TPA be listed as the 2nd tallest in Tz everywhere yet have 20 more meters than the actual tallest

Kwa hizi picha TPA ndio IPO karibu na mpiga picha. Ipi refu?

am sure umejifunza kitu hapo

 
asante pumzika bro urefu wa burj khalifa without sphere ni mara nne na nusu ya urefu wa britam😀😀😀😀
yani na ujinga mlionao kila jambo munataka mufanane na wengine
Sitapumzika mpaka nikung'watue toka mikono ya mis/lack of info.

Bila spire, burj would be the 5th tallest building and not the tallest. Ever heard of anyone anywhere listing burj as the 5th tallest?

Bila spire Britam would not be the 2nd tallest ever heard of anyone (that isn't a Tanzanian) anywhere listing Britam as not the 2nd tallest in Africa?

Magufuli kawatia makufuli akilini hamtaki kuona mambo yalivyo
 
Au huo mnara nao ni floor
 
hahahaha britam bila kofia ni 140m sasa wewe endelea kujitia ujinga wa 200m😀😀😀😀😀
na ndio maana hata maisha yenu yamekaa kiujanja ujanja usiokua na maana yoyote
have a look on burj khalifa spire utaona even the design inaonesha narrow shape kwenda juu na inasababushwa na urefu wa jengo lakini angalia design ya britam inaonesha dhahiri ni kofia imewekwa
 
Did you expect ichoboy to understand the first point you raised above? Hahaha...you may get lucky with another Tanzanian, not him. He is now claiming that you were trying to compare Britam with Burj, which is definitely not the case here. Hawa ni kweli magufuli amewatia kufuli vichwani as you put it.
 
Tazama hii picha tena kisha unieleze how is TPA (which is closer to the photographer) 20m taller than PSPF twins
Tatizo wewe huelewi. TPA jengo lipo baharini kabisa yaani chini, wakati PSPF yapo juu kidogo.
 
This one is from the sides of BOT, not from the ground where the height may be distorted by the closest tower but from an aerial perspective. Where are those 20m taller than PSPF coming from, are they invisible floors?



Tuusan's 157m is close to accurate, not that 178m from God knows where
 
I like it Kenyan investors and not Kenyan government building Nairobi
 
mm nishamuelewa kuhusu ratio na still ratio ya burj khalifa iko juu lakini nachotaka kumueleza afahamu burj khalifa without spire basi britam inaingia mara nne na nusu😀😀😀😀😀 alafu have a look on burj khalifa even the shape of spire inaonesha narrow shape of spire as long height imekwenda juu sana lakini angalia kofia ya britam
angalia tafaut ya shape ya jengo na how spire looks like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…