Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mall hata huku zijengwa bro kuna kunduchi mall na kuna east Africa logistic hub pale ubungo hio sio issue kabisa, issue ni kua dunia inaenda speed Sana Kias kwamba SASA hvi munashangilia render πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ

Huku tuna ujenzi wa two modern stadium in dodoma and Arusha lakini huskii hata kelele na vitu vya kawaida Sana Tanzania kua na modern stadium like Benjamin mkapa, Aman karume stadium etc
 
East Africa kwa sasa hamna viwanja vya maana ukitoa kila cha Rwanda. Kama hivi ndio viwanja unasema vinahitaji renovation then uko na shida sana.
Afrika Mashariki uwanja pekee unaokidhi vigezo vya kimataifa ni BENJAMIN MKAPA STADIUM.
Niletee huo uwanja wa Rwanda niuone??
Viwanja vya Tanzania vina pitch nzuri renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufundi.
Hivyo vya hapo vina uwezo wa kuingiza zaidi ya mashabiki 25k kama majukwaa yakirekebishwa.
 
Hivi sasa unataka kulinganisha hivyo vistadium vidogo mnavyojenga na Talanta stadium? Una shida ya akili wewe.
 
Kama hizi ndio high class stadiums heri tubaki na zetu mbovu.
 
Expressway ilijengwa kwa sababu sio Mali yenu ni Mali ya mchina ambaye lazma ajenge haraka ili aanze kurudisha pesa yake haraka over 30 good years mchina ataimiliki

SGR same story like expressway πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Swali la kukuuliza hio stadium ni mikopo au pesa ya ruto ?? Hapo ndio ukweli utajulikana πŸ˜‚
 
To summarize it all, mna nyasi mnangoja kujenga stadium yenyewe. 🀣 🀣
 
Why are you showing us fields instead of stadiums?
 
Pinnacle and montave mbona hujazitaja sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au zilishajengwa like shimo la pinnacle like wapi???
Kwani umesahau mulikua munaomba 1km of SGR mukijua haitajengwa?? SASA hvi munaomba nn zaidi ya Neno extended canopy ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijaiona ukiulizia construction board ya Talanta Stadium, expressway ilikudemoralise ama?

With Atlanta, Opening Game and Finals will be played in Nairobi.
 
Tizama hiyo pitch na fananisha na pitch za kasarani kesha urejee.
Hapo ni kurekebisha majukwaa na vyumba vya nguo na vyoo basi.
Ni sawa hujakosea.
Tz huwa kwanza tunajikita pa kuchezea kesha majukwaa baadae.
Hivi unaelewa stadium ikijengwa hizo pitch lazima zibomolewe ndio ujenzi uendelee? Haya yako ni kama kujisifu una gari eti umenunua gurudumu bado tu chasis, body na engine. Yani unakaa mjinga sana.
 
Pinnacle and montave mbona hujazitaja sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au zilishajengwa like shimo la pinnacle like wapi???
So leo hutaki kuskia mambo ya Expressway, GTC, Altura, CBK, Prism and 1780 tower?
 
Hivi unaelewa stadium ikijengwa hizo pitch lazima zibomolewe ndio ujenzi uendelee? Haya yako ni kama kujisifu una gari eti umenunua gurudumu bado tu chasis, body na engine. Yani unakaa mjinga sana.
Sio sahihi.
Sio kila stadium ikijengwa lazima pitch ibomolewe.
Hapana umekosea tena sana.
Mathalan Jamhuri Dodoma akati unajengwa majukwaa na kuwekwa taa pitch haikubomolewa.
Unarekebisha majukwaa na vyoo unagusaje pitch??
Labda uniambie pitch inaweza ikaathirika na ujenzi ila sio kubomolewa,na kama kiathirika ni nyasi tu zitarekebishwa baada ya ujenzi.Viwanja vingi Tz asahv ni nyasi asilia sio makapeti.
 
Kwani huyo mpumbavu bado tu unaminyana nae anakwambia Dar inanuka halafu anapost picha za Dar hapo kuna mtu au kuna nyumbu wapale mikumi bwabwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…