muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Yani kanichekesha balaa π€£π€£Mwigulu kawachana live ππ
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1763230060654318057?t=CxsEpOsdZjyLYxbzzsT2gg&s=19
If You expect me to argue with you then I'm sorry to let you know that I don't have that time to waste.Onesha BRT jaluo jinga weweππππ
BRT yetu itakua longest 50km iko wapi sasa
View attachment 2920552
Unafkiri BRT ni kama Kula githeriπππ
Hivi lile jengo jipya la abiria lenye glass cladding shida yake ni nini mbona liko poa tuu na bado halijaanza kutumika?Mambo ya Samia haya ambayo haters wake Huwa hawataki kuyasikia ππ
View: https://youtu.be/_SS1HDFQKzc?si=5QpbnhZ3r5kp5kUq
Wamepita wengi hapo hakuna Cha maana wamwfanya.Hata Mwanza mnaenda kutibiwa na Samia ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C38GTLAiifS/?igsh=MWNtamIyMWI5NzNvcA==
Wanasema eti limejengwa chini ya kiwango na limekaa kama godown πππHivi lile jengo jipya la abiria lenye glass cladding shida yake ni nini mbona liko poa tuu na bado halijaanza kutumika?
Leo nimepata taarifa kuwa public hospitals za Tanzania ndio zinaongoza Africa nzima kwa huduma nzuri za tiba, vifaa na modernityWakundustan wamekubali mziki wa Tanzania ππ
View: https://www.instagram.com/p/C375WpMKTxm/?igsh=MTZhdTNtb2ZiajJiNA==
Delusional π€£π€£π€£Very eager to see the route that will be taken if Tanga Port is the one to be used.
View attachment 2920429
Dah it seems tuna hela nyingi za kuchezeaWanasema eti limejengwa chini ya kiwango na limekaa kama godown πππ
Wewe nyang'au brt ni kifupi cha bus rapid transit. Sio kila public transport ni brt. Hebu nenda kajifunze Kiingereza vizuriπKingereza ndio huelewi ama?
Ni hivi Mama ameweka Nguvu kubwa sana kwenye sekta zinazowagusa wanawake na Watoto.Leo nimepata taarifa kuwa public hospitals za Tanzania ndio zinaongoza Africa nzima kwa huduma nzuri za tiba, vifaa na modernity
Ujenzi wa lile jengo ulikwama Toka 2018 na likawa na kesi zisizoisha,watu walipiga pesa wakasepa.Dah it seems tuna hela nyingi za kuchezea
Anajua maana ya BRT kwanza? Maana majibu yake yanatafakarisha. Kwake BRT ni commuter rail π€£π€£π€£Where is BRT in Kenya??ππππ
Lakini bado ni jengo zuri tuu ambalo with good organisation kwa ndani lingefaa tuu kuliko kuingia gharama mpya.Ujenzi wa lile jengo ulikwama Toka 2018 na likawa na kesi zisizoisha,watu walipiga pesa wakasepa.