Hawa kutangaza wamejifunza wapi? What is Idala??🙄
Nyinyi wapuuzi tutawaburuza kwa miaka mingi sana, wakati sisi tunajipanga na vitu vya umuhimu zaidi na vyenye kujenga uchumi wa kweli kama electrified SGR, bridges, hydroelectric power plant, ships, ports etc nyie bado mpo na vitu vidogovidogo vya kipumbavu na vyenye kunufaisha wakenya wachache kama malls.A new mall under construction in South C
View: https://x.com/Constafrica/status/1762816087450677275?s=20
Sijaona, naomba mkuu.Nimepeta shots za muonekano wa juu za DOM yo DODOMA is a construction site manzee.
Usiwaamshe mkuu waache waendelee kulala siku si nyingi watakuja kuuza bidhaa zetu nyingi tuu kwenye hizo malls zao.Nyinyi wapuuzi tutawaburuza kwa miaka mingi sana, wakati sisi tunajipanga na vitu vya umuhimu zaidi na vyenye kujenga uchumi wa kweli kama electrified SGR, bridges, hydroelectric power plant, ships, ports etc nyie bado mpo na vitu vidogovidogo vya kipumbavu na vyenye kunufaisha wakenya wachache kama malls.
Hiyo serikali yenu ubavu wa kujenga itoe wapi??Kisumu ni bling bling and hatungojei magorofa tujengewe na serikali
View attachment 2919635
Umeshakuwa kama mchawi wewe kazi Yako ni kutafuta makosa tuu yaani hakuga zuri mdomoni kwako.Hawa kutangaza wamejifunza wapi? What is Idala??🙄
Tushakua marking scheme yao lamamayee!
View: https://youtu.be/nONXqQTkHoU?si=Kk0iEiKOmyGzgFun
MY TAKE
kTN Walikuwapo kushuhudia safari ya kwanza ya electrical SGR EA!
Aki hii nchi ishafeli jamaa angu.More than 2 loans each month 😁😁
View: https://www.instagram.com/p/C35p37pLE7B/?igsh=MThhcWU2Z2t6dTI3ZA==
Mambo ya Nabii 😁😁.Mtu akiwa Nje ya Utawala Huwa anapanua sana mdomo kama nyie machademaAki hii nchi ishafeli jamaa angu.
🤣🤣🤣🤣🤣
Mie mkuu sina chama.Mambo ya Nabii 😁😁.Mtu akiwa Nje ya Utawala Huwa anapanua sana mdomo kama nyie machadema
Niletee fundi wa Kunyaland walioteka Tanzania construction industry kama watanzania walivyoteka industry ya Kunyaland 😂😂😂nisaidie aerial views za hizo rentals nataka kuona kitu 😆😆🤣
Washakwambia sie ni watu wa kitenge mansion.Niletee fundi wa Kunyaland walioteka Tanzania construction industry kama watanzania walivyoteka industry ya Kunyaland 😂😂😂
View attachment 2919725
Kenyans developing the villages quickly nowadays villages have best chill spots or even mini malls.
View: https://youtu.be/-fuQ669sR3E?si=zBdUP5ya5w-_S7Dg…
Watu wangu… I know this guy.. mtu wa kwetu Nanyuki…True , Kenyans in Washington state especially in Seattle/ Tacoma metropolitan are real hustlers… they own big businesses especially care homes … too many to count… secret dollar millionaires… Go to Nanyuki and witness diaspora in action… We mean business…Kenyans developing the villages quickly nowadays villages have best chill spots or even mini malls.
View: https://youtu.be/-fuQ669sR3E?si=zBdUP5ya5w-_S7Dg