Hapo kariakoo haijaguswa hata ncha😀😀😀😀Nitafrahi siku mtu akichukua arial view ya CDB yote
Atleat posta, kkoo, upanga
Maana apo naona POSTA na some part of Kkoo coz ata mnazmoja naona haipo apo
Ushirika tower lililo katkat ya mnazmoja halipo apo
Chukua jengo lolote afu uesabu nomber of flrsif you remove the two govt towers dar will look like mogadishu...zero architecture
Maana yake ni kuwa tuendelee kujengaCost yake ni 1.1b usd na itakua the largest cement factory in east and central africa, and its min capacity will be 7 million tons per year upto 10 million tons
uzuri wa thread hii ni kwamba kadili unavyozidi kushiriki katika mjadala ndivyo akili yako inavyozidi kupevuka katika uelewa wa masuala ya kimataifa kwasababu hubishani tu hivihivi,kuna wakati utalizimika kwenda ktk source nyingine ili u-cross check usahihi wa taarifa unazotaka kuziwasilisha.Watu mnabishana aseee! Ila mkikutana nje ya Africa ni ndugu! Good continue with your altercations.
Proudly to be Tanzania. Karibu Nyamongo!.
Haswaa Maana yake cement ishuke bei ili watu wajenge sana maana ardhi ipo ya kutosha na kwenye ujenzi mchawi hua cementMaana yake ni kuwa tuendelee kujenga
uzuri wa thread hii ni kwamba kadili unavyozidi kushiriki katika mjadala ndivyo akili yako inavyozidi kupevuka katika uelewa wa masuala ya kimataifa kwasababu hubishani tu hivihivi,kuna wakati utalizimika kwenda ktk source nyingine ili u-cross check usahihi wa taarifa unazotaka kuziwasilisha.
mfano,statistics mbalimbali kuhusu uchumi wa kenya au tz,taarifa za miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya kenya au tz nk.
it's not an easy job for someone who does not participate in discussions that involve people from two different countries.
Tusipowatania na kuwatunishia msuri hamna wa kutuchangamsha akili ukanda huu
Jiulize ni kwa nini lile jengo la NY uliofananisha na Britam lina mnara japo ni refu zaidi.[emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa jengo ni short kama MWALA,ndio mfidie na limnara reeeefu.ikiwa jengo ni refu hamna haja ya mlingoti wote huo.
uzuri wa thread hii ni kwamba kadili unavyozidi kushiriki katika mjadala ndivyo akili yako inavyozidi kupevuka katika uelewa wa masuala ya kimataifa kwasababu hubishani tu hivihivi,kuna wakati utalizimika kwenda ktk source nyingine ili u-cross check usahihi wa taarifa unazotaka
kuziwasilisha.
mfano,statistics mbalimbali kuhusu uchumi wa kenya au tz,taarifa za miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya kenya au tz nk.
it's not an easy job for someone who does not participate in discussions that involve people from two different countries.
Hakuna matusi humuGood ila fanya vizuri si kwa matusi.
Oyaaa! Man from kenya! How are you?use kiswahiili plz ur not restricted
Hakuna matusi humu
Labda mihemuko2
We copied 1 tower, you guys copied an entire city called Port of SpainSisi sio kama nyie mlio dandia kucopy hadi tower za watu wakati mnapesa kiduchu mkaona mjenge little sijui muitwe new york ndogo