Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar new oil facility
Cost $270 million
Capacity 420,000 metric tones

Kipevu oil facility
Cost $385 million
Capacity 100,000 metric tones

Hivi hawa wapumbavu wanayosemaga wana elimu kubwa kuliko sisi huwa wanamaanisha nini?

Screenshot_20240226-210030.jpg
Screenshot_20240226-210148.jpg

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1484775373992775682?t=413fN8U6ATJOq7TXotGNuw&s=19
 
Kweli these muffs are obsessed with Kenya......
Ati Burundi iko na only 0.98% unemployment rate. Hawa Warundi wenye wamejazana huku wakiuza chai mandazi, na kufanya kazi za uwatchman - alafu akifika mmoja anaita jamii nzima. Hiyo ndio nchi unaambiwa iko na lower employment rate kuliko hadi Switzerland. 🤣 🤣
 
Mashashola 😀 😀 😀 aka mnuka mavi

1708972404200.png
 
Ina maana hujui Samia anaongoza nchi ngapi mkuu? 😂😂😂 Anakipiga home and away japo Mwinyi yupo vizuri ila usitegemee kama Samia hangekua alipo sasa Zanzibar ingekuwa hivi!
Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, lkn hana maamuzi yoyote Zanzibar.
Yey kama yeye hana uwezo wa kupindua maamuzi ya Mwinyi.
 
Back
Top Bottom