Akuoneshe logbook ww kama Nani TRA au ??Kuna mtu niliambia anionyeshe logbook kakatoroka hajarudi hadi saa hii. Najua kesho asubuhi kitu saa mbili ataomba mwenye gari logbook yake alafu atumeπππ.
Most of his pictures zinakuanga asubuhi saa mbili na 50 hapo.
KaziniπππMama Yuko kazini ichoboy01 ππ
View: https://www.instagram.com/p/C3mikL_Mkg3/?igsh=MW54ZHFyb2dqcm0zZA==
Yuko kazini nchi haina umeme, Yuko kazini sukari hakuna nchini, Yuko kazini dolla hakuna nchini hata Sisi tunaomba Yuko kaziniπππ
Nashangaa kuna sukari kilo inauzwa elf tano na bado ni ya shida πππKwa hiyo wewe hujanywa chai Kwa sababu hakuna sukari au? πππ€£π€£π€£π€£
Kwa hiyo simu Yako Haina chaji Kwa sababu hakuna umeme au? πππ
Mama yuko.kazini acha wivu wa kijinga,hakuna sekta Haina miradi zile stori za Hamuoni miradi kipya zimezima ghafla π€ͺπ€ͺ
View: https://www.instagram.com/p/C3m618tIOE9/?igsh=MTZmMTFrMGlpeXJk
Vipi refugee, unakuja Kaloleni slum lini? Yule ndugu Yako bado anaishi zile slums za Kisumu?Akuoneshe logbook ww kama Nani TRA au ??
Ww unautoto mwingi Sana chizi ww
BRT za ndani ya jiji zinasuasua sasa tunaota ndoto ya BRT kwenda dodomaπππππ
Cha msingi ipo na inanunuliwa.Ulienda.mgahawani ukakuta chapati au cup of tea ni 700 kisa sukari? ππNashangaa kuna sukari kilo inauzwa elf tano na bado ni ya shida πππ
Hiyo sio BRT ni Expressway Ile toll road ambayo ujenzi unaanza baada mvua kukata.BRT za ndani ya jiji zinasuasua sasa tunaota ndoto ya BRT kwenda dodomaπππππ
Ipo iko wapi ? sukari inauzwa elf 5 kilo haijawah tokea toka nchi ipate Uhuru ππCha msingi ipo na inanunuliwa.Ulienda.mgahawani ukakuta chapati au cup of tea ni 700 kisa sukari? ππ
Kwetu wapi turkana au lamu kwenye usafiri wa punda ππππππUnarudia lini kwenu? Unajua kwenu kweli?
Kutokua na umeme ni aibu kubwa Sana kwa nchini hii yenye Uhuru wa zaidi ya miaka 60 wala sio kitu cha kushangilia kabisaKwa mujibu wa Wakunya na haters wa Samia ni kwamba Tanzania hatuna umeme ila tunaongoza growth rate kama ifuatavyo ππ
View: https://www.instagram.com/p/C3nFXGIIi7x/?igsh=MTVydzZ1ejN5bmczZw==
Tukipata reliable supply ya umeme itakuaje?
Kumbe hata hujui kwenuπππ.Kwetu wapi turkana au lamu kwenye usafiri wa punda ππππππ
Au sio mbona huwaambii wale wahindi na wasomali walioshika almost 80% ya uchumi wenu warudi makwao au unawaogopaππKumbe hata hujui kwenuπππ.
All refugees are planning to go back to their countries wewe bado umekwama Tanzania. Tukupatie Map uangalie kwenu?
Wahindi hawako JF. Hapa JF tuko tu na wewe, you are the only person here mwenye amepotea na hajui kwao.Au sio mbona huwaambii wale wahindi na wasomali walioshika almost 80% ya uchumi wenu warudi makwao au unawaogopaππ
Mkundustan hawezi kujenga contemporary homes 300 kwenye 1 acre of land each house hata siku 1 sababu ardhi yote inamilikiwa na mzungu, ndio maana wamebaki kujenga vertical slums kama pipeline ambazo kila leo zinawaangukiaKuna Mkunya anaweza fanya project kama hii ya huyu mzawa hapa Dom? Au kama kawaida wanasubiria mzungu? ππππ
View: https://www.instagram.com/reel/C3nkZkdibRw/?igsh=cnpzaTltc21hd3Z5
Mbona hamuongelei Head phone na wire wake ππππ, siku hizi si THE BLUE TOOTH DEVICE IS READY TO PAIR ??? ππππππView attachment 2911320
Ushamba ni mwingi na ufukara,hizo skate shoes tu alivyovaa unajua kabisa hajui kuvitembelea amevaa kwa ajili kupigia picha,muangalie alivyoinama