Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Wakati wa mjomba hii miradi tuliona ikiwa imeshatekelezwa teyari, sahii ni blah blah blah tu, tuna bahati mbaya sana TzZitajengwa Kupitia hii DMDP II ambayo inaenda kuifanya Dar kuwa Dubai 😁😁
View: https://www.instagram.com/p/C3muQIlIVfx/?igsh=YjFscWM0YTllaHNp
Siyo kila nchi wanatumia Logbook mzeeWapi log book? Bila logbook then automatically shows ulipewa lift na pastor wa Catholic.
Mjomba wako aliokuta imeanza utekelezwaji na ni Samia ameikamilisha.Wakati wa mjomba hii miradi tuliona ikiwa imeshatekelezwa teyari, sahii ni blah blah blah tu, tuna bahati mbaya sana Tz
Mzee hizo terminologies za kwenu hapa kwetu hazipo. Usilazimishe tufanane. 🤣 🤣 🤣Mayoo🤣🤣🤣😂😂.
Yani unasema uko na gari lakini hujui logbook ni nini?🤣🤣😂😂😂
Logbook and driving license are two different things. Now I'm 1000000% sure huna gari.😂😂
Haya all is wellMjomba wako aliokuta imeanza utekelezwaji na ni Samia ameikamilisha.
WB hawakurupuki Bali wanatoa pesa baada ya assessment.
As we speak Tactic inaendelea Kwenye Manispaa 12 za Mwanzo
Haya all is well
Dar / Tanzania ina overhaul the whole distribution and supplying system kwenda to the whole next level, infrastructure like this underground wired power network haitokaa ifike Kunyaland leo na milele sisi ndio tunaondoka huko kwenye medieval overhead spider network connections to underground network kama kawaida Tanzania ni wa Kwanza kuleta unusual progress
Punda is not rotten food. Au hujui maana ya rotten?Kama rotten food is not good for consumption why mnakula punda
Nyang’au akina kichirchir arap Teargas bila aibu wataanza kusema Ngare Sero inapatikana kenya🙂View attachment 2911107
Tarehe 19 Februari 2024 jijini London ulifanyika uzinduzi wa 'Documentary Film' iitwayo "Footsteps: Journey to the Engare Sero footprints" inayohusu Nyayo za binadamu zenye umri wa miaka 20,000 zilizopo katika eneo la Ngare Sero katika Wilaya ya Ngorongoro Kata ya Malambo Mkoani Arusha. Nyayo hizo zilitokana na binadamu waliokuwa wakikimbia kufuatia mlipuko wa volcano katika Mlima wa Oldonyo Lengai. Filamu hiyo imeandaliwa na Mtengenezaji filamu mkongwe (Film Director) Ndugu Ndugu Leander Ward- ambaye anafahamika katika tasnia ya filamu kupitia filamu ya The Crimson Wing: Mystery of the Flamingos (2008), Wild Side (1995) and Prince Valiant (1997).
Aki wewe jamaa uko fala sana. Logbook inatumika everywhere all over the world. So nini inaonyesha gari ni Yako kama huna logbook ama hiyo registration card?😂😂😂Siyo kila nchi wanatumia Logbook mzee
Huezikuwa na gari na ukose kujua logbook ni nini😂😂😂.Mzee hizo terminologies za kwenu hapa kwetu hazipo. Usilazimishe tufanane. 🤣 🤣 🤣
Bro si upate kitu inakupea pesa kwanza ndio uniongeleshe. Ambia hata watchman The best 007 akutafutie kazi kule kwao. Kama wewe ni maskini unadhani kila mtu ni maskini like you?Huyu jamaa anadhani anabishana na maskini wenzake humu ndani . So sad
Mnakula punda?Punda is not rotten food. Au hujui maana ya rotten?
Then show me the soft copy insurance cover of that car kama Iko nayo cause it seems hujui what logbook is.Siyo kila nchi wanatumia Logbook mzee
Onyesha car logbook, idiot.Mzee hizo terminologies za kwenu hapa kwetu hazipo. Usilazimishe tufanane. 🤣 🤣 🤣
Next time when editing be keen on spellings, sawa?Editing, ok.