Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cost of what? Cost cost cost cost cost cost cost cost cost

Cost means money 🚮
Umemuona huyu poyoyo???
Anataka kutenganisha purchasing power na gharama ya maisha.
Purchasing power ndio ina determine gharama ya maisha.
Kwasababu gharama ya maisha inaendeshwa na pesa .
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Maana FKF league ukitaka kutizama lazima utizame Azamsport 1 au Azamsports 3 na hizo channel huwezi kuwa nazo mpaka uwe na decoder ya Azamtv.
Akili mtu wangu, akili kaka, wakenya hawana akili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Japokuwa sijakamalizia kamjengo kangu ila kamepauliwa unyama ni mwingi
Angalia mafundi wa mitaani Tanzania, hawa ni mafundi wanaojenga nyumba za mitaani kawaida tu, Kunyaland hii profession hakuna

Wakundustan wakubali kwenye vocational and technical works hawana ubavu wa kupambana na mtanzania wakundustan wapo vizuri kwenye literatures lakini sio practicals

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…