Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yenu kawaida huwa kiingereza. Nimeongelea mtaa wa Ridgeways kwa ujumla, Sio hizo nyumba. Khaa! Alafu unapata bado mnaharibu kusahihisha grammar ya mtu humu. You all need English classes for real.๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Shida yako inaanzia hapa kwamba unadhani unaongea vitu vya rocket science hata nisikuelewe. Jinga sana๐Ÿ˜…
 
The one you posted above is not what the average Tanzanian lives in and the one you posted below is not what the average Kenyan lives in. The one you called a 'mansion'in Kenya is nowhere close to even what a standard bungalow is in Kenya. But you're free to please yourself. Stupid people are stupid people. ๐Ÿšฎ
 
Shida yako inaanzia hapa kwamba unadhani unaongea vitu vya rocket science hata nisikuelewe. Jinga sana๐Ÿ˜…
It's good that you can tell your own weakness. Simple English is Rocket Science to you. Kama hutaelewa hii niambie nikuandikie kwa Kiswahili.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii nyumba imegharimu zaidi ya ksh million 25, ni sawa kabisa kuiita mansion sababu ni very expensive kwa Kunyaland na sio kila mtu anaweza afford

 
Not expected while it's a reality ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tunza render yako mwenyewe no one needs it here
 
Natilia shaka uelewa wako. Hv kweli unaweza ukasoma jambo ukaelewa wew?๐Ÿ˜‚
Now you're fliping the narrative? Am I the one who failed to understand a simple comparison of Ridgeways Estate to your Estates and thought I was talking about a particular house? Stop projecting. You need a class in comprehension.
 
A moron claiming to be smarter.
๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”.
Nimetolea mfano wa kununua na kuuza kesha nikatolea mfano sawia na wa kujenga kwasababu vyote vinawiana.
Gharama ya mauzo ya nyumba inaendana na sambamba na gharama ya ujenzi wa nyumba.
Ukiona nyumba inauzwa ghali sana jiulize kwanini?Eidha gharama ya vifaa ujenzi ghali ama ardhi ni ghali.
Ila kwetu iko tofauti.
Unashida katika uelewa wako.
 
So in your stupid mind you think you can compare Masaki to Muthaiga or Kigamboni to Ridgeways or Mbezi to Muthaiga? Unaitaji daktari wewe.
Acha kuimba taarabu za Mombasa kunguni weweee!
Unataka tulinganishe aje kwa hizo sehemu mbili??
Kama paved roads kote zipo,mitaa imepangika,kuna sewage system n.k n.k.
Wewe unasemaje hapafikii hadhi???
Leta ulinganisho sio mipasho.
 
You compared buying in Kenya to building in Tanzania.
You have to compare building to building, buying to buying.
The cost of buying is way higher than building because buying includes the developers profits and additional government taxes. The cost of buying is normally more than double that of building. A smart person would understand that.
You're so stupid even simple things are a mountain to you.
Teargas you are right. All Tanzanians are stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ