Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chukua hiyo 200ksh ufanyie matumizi huko kenya,baada ya hapo uje Tz ukifika change hiyo 200ksh into Tz sh, hela utakayopata tumia hiyo hiyo kufanyia matumizi yale yale uliyofanya ukiwa huko Kenya na 200ksh
Between you and world Bank who knows better?

Screenshot_20240217-123516_1.jpg
 
Chukua hiyo 200ksh ufanyie matumizi huko kenya,baada ya hapo uje Tz ukifika change hiyo 200ksh into Tz sh, hela utakayopata tumia hiyo hiyo kufanyia matumizi yale yale uliyofanya ukiwa huko Kenya na 200ksh
Mfano wa ulichosema huo hapo kaka .
WAKISHINDWA KUELEWA MFANO HUU BASI SITAONGEA TENA NA HAWA JAMAA.
NI KUTEKA MAJI KWA TENGA.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-17-19-28-46-29_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-02-17-19-28-46-29_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    316 KB · Views: 10
  • Screenshot_2024-02-17-19-28-56-53_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-02-17-19-28-56-53_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    297.6 KB · Views: 5
Hivi umesoma hizo criteria vizuri??
Soma hizo key terms uelewe na hiyo imetoka kwa source uloleta mwenyewe.
Isome kwa umakini no.3 na no.4.
Usome kwa uelewa sio kwa kukurupuka.
Sawa msomi. Kwa hiyo source China is ahead of the US in GDP by Purchasing Power Parity. You claim the Yuan has a higher Purchasing Power than the Dollar (I'm still not quite conveinced, I will first have to confirm if that's true)

This graph here shows GDP per capita by PPP of Kenya and Tanzania. So, we can now conclude that the Kenyan shilling has a stronger Purchasing Power than Tanzanian shilling, right?

1708187559225.png
 
View attachment 2907271
That's 2022.
About China nilikuletea screen shot toka kwa source yako mwenyewe na sidhani kama umeisoma ile source.
Ile source ina majibu ya yote unaoyapinga .
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-17-19-11-55-49_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-17-19-11-55-49_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    247 KB · Views: 5
That's 2022.
About China nilikuletea screen shot toka kwa source yako mwenyewe na sidhani kama umeisoma ile source.
Ile source ina majibu ya yote unaoyapinga .
Na wewe unapinga kwamba Kenyan Shilling has a stronger Purchasing Power than Tanzanian shilling yet you are using the same criteria of GDP by PPP to say that Yuan has a higher Purchasing Power than the Dollar. 😂😂😂😂
 
Soma hizo criteria vizuri.
Ukishasoma kwa umakini kesha ndio tujadiliane.
Kwa hizo criteria China ime fit kote ila KENYA KUNA CRITERIA MBILI ZINAWAKATAA.
EMBU SOMA VIZURI
Baadae kijana wacha tukapike na wake zetu kwanza.
Nikirudi uwe ushasoma.
 
Nimekueleza soma hizo key terms ya 3 na 4.
Halafu utaelewa kwanini napinga Kenya kuwa na Purchasing power kubwa kuliko Tanzania.
Ungekua Kenya una purchasing power kubwa usingelalamika HIGHER INFLATION RATE NA KULALAMIKA UNGA WA UGALI UMEWASHINDA BEI.
😂😂😂😂😂. What do you have to say about this? Kenya's GDP by PPP is more than $100B that of Tanzania (2023). Therefore, the Kenyan shilling has a stronger Purchasing Power than the Tanzanian shilling. (I am just using your argument of saying Yuan has a higher Purchasing Power than the dollar, since China has a higher GDP by PPP)

1708188052377.png

1708188067305.png
 
😂😂😂😂😂. What do you have to say about this? Kenya's GDP by PPP is more than $100B that of Tanzania (2023). Therefore, the Kenyan shilling has a stronger Purchasing Power than the Tanzanian shilling. (I am just using your argument of saying Yuan has a higher Purchasing Power than the dollar, since China has a higher GDP by PPP)

View attachment 2907281

View attachment 2907282
Hujasoma .
Ngoja nikirudi nikueleze criteria zipi Kenya zimekutema na zipi CHINA Imefit zote.
Kuna criteria mbili Kenya imekutema.
 
Soma hizo criteria vizuri.
Ukishasoma kwa umakini kesha ndio tujadiliane.
Kwa hizo criteria China ime fit kote ila KENYA KUNA CRITERIA MBILI ZINAWAKATAA.
EMBU SOMA VIZURI
Baadae kijana wacha tukapike na wake zetu kwanza.
Nikirudi uwe ushasoma.
Haya kapike najua unatumia mshumaa kwa kuwa umeme umekatwa 😂. Ukimaliza uangalie hii picha kisha ujiambie kimoyomoyo "Kenyan shilling has a higher Purchasing Power than the Tanzanian shilling"

1708188336490.png
 
Back
Top Bottom