Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol
 
Huyu anatafuta deportation!
Huyo ni mwana ambae hana shida lakini, na yuko na projects zake hapa Tz( niliona kama anafungua NGO kwaajili ya kupinga ukatili dhidi ya haki za watoto, pamoja na bad practices eg female genital mutilation), u can visit his Instagram page and get to know more about him, he's very funny and he loves Tanzania and Tanzanians, anajiita mbongo wa mchongo. Naona hadi Gerson Msigwa ana comment kwenye posts zake za Instagram.
 
Hii design sio nzuri kuliko ile design ya soko la Mwanza, ila sio mbaya, itabadili ile mandhari ya pale kilombero market. Kuna stendi ya daladala pale inaitwa kilombero pia, hairidhishi kabisa ile sijajua Wana mpango gani nayo.
Nimedokezwa hii ni pedestrians bridge ya kuunganisha soko na stand
 
Watanzania wote ni wajinga.


Which field are is Tanzania doing better than Kenya? Support your claim with evidence.
 
Nyie ndio mna miss priorities wapumbavu nyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwasasa mnahitajika zaidi mashambani mkalime huko ili mujitosheleze kimsosi sio kusherekea vitu za minorities. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kenya has higher value of agricultural output than Tanzania. Let that sink in.
 
Kiboko yenu in the house. Nipo hapa kwaajili ya bakora tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwaiofhawaii a.k.a Mwaisa Sadima Dickson, how are you doing boi.?
You seem off the chain today Mr. Errand boi … kwani you got promotion?… Niko poa … just grinding like you except I get richer, you don’tβ€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…