Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na huyo rostam amekuwaje muiran mzee wakati ni mzaliwa wa tabora kama ilivyo mo itigi singida?
Kaka mbona kama mnachanganyana?
Mnazungumzia nativity or citizenship??
Maana kuna asili na kuna uraia.
Hasa hapo mnabishana nini??
Kama ni asili somali asili yao sio Kenya ni Somalia,Ethiopia,Djibout na Eritrea.
Kama uraia wapo raia wa kisomali ndani ya Kenya ila Somali sio kabila halisi la Kenya.
 
tulianzia kwenye citizeniship akawakataa kwetu sio raia basi na kwao nikamwambia hao somali sio wakenya karuka kimanga sasa nikawa namtega kama si asili basi na hao pa si asili akaruka tena yaani kwao wasomali ni raia na pia asili ni wakenya hii imeshiba ugali leo nahisi maana kwa upande wake kwetu anakataa ila kwao iko sawa.
 
Huu ni upuuzi wa kinyang'au.
 
Wakenya hakika mmekuwa wanyonge sana. Tuongeze dose? Yaani kwa sasa mnaleta taarifa dhaifu sana. ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Tukiwapostia 350 billion investments munasema ni uongo, wacha tuwalishe na taarifa dhaifu.
 
Thank God umesema ukame, a natural occurance. But just to let you know, just Google the word'nyama choma' uone ni nchi gani itatajwa wa kwanza. Kenya is synonymous with nyama and you won't change that fact hata ulie machozi ya damu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ We jamaa kweli ni chizi eti sijui nyama choma sijui vitu gani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii mada mnairudisha tena eeh.? Haya tell us ni nyama kiasi gani mna export.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ