Watanzania hawataki kujua ongezeko, watanzania wanataka umeme wa uhakika full stop , blah blah hzo subirini uchaguzi
Bahati mbaya kuwe kwenu Bukoba Samia ndio favorite ๐๐Aondoke tu. Atuachie nchi yetu. hana uchungu na hii nchi.
Tunahitaji mtu ambaye anataka mambo yaende na ana say. Huyu hafai hata kuongoza familia
Unadhani umeme wa uhakika utatoka kwenye mkojo wako? Wewe unaweza zuia katika katika ya umeme? Sababu unazijua au huzijui?Watanzania hawataki kujua ongezeko, watanzania wanataka umeme wa uhakika full stop , blah blah hzo subirini uchaguzi
Tanzania ihakikishe inanufaika katika hili la kupeleka majeshi yake Congo, iache mambo ya nyerere.Hao kurudi sio uzembe wetu ni uzembe wa jeshi la Congo.
TPDF ilikabidhi usalama kwa jeshi la Congo baada ya kumaliza kazi.
Pia waliopigwa mapanga waliviziwa wakiwa wamepumzika,ila nadhani unajua washika mapanga waliuliwa wengi kuliko hao wanajeshi 20 na wengine kukimbia.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ basi waache kuongea kama kuzalisha umeme ni sawa na kukojoa mkojo waache maneno mengiUnadhani umeme wa uhakika utatoka kwenye mkojo wako? Wewe unaweza zuia katika katika ya umeme? Sababu unazijua au huzijui?
Transfoma zimeanza kuibiwa miaka hii au wewe ndio unasikia Kwa Sasa kutoka Kwa Waziri?Alaf waziri anafanya nn bungeni?? Yani kashfa hio tu inatosha kuachia ngazi
View attachment 2897838
Waaaaa hamjafikisha hata 2000MW, anyway najua hakuna demand. ๐ ๐ ๐
Makamba alisema anahitaji Trilioni 4 kufanya overhaul mkambeza .๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ basi waache kuongea kama kuzalisha umeme ni sawa na kukojoa mkojo waache maneno mengi
Watanzania hawataki kujua kuna ongezeko la mkojo au mavi wao wanataka umeme wa uhakika full stop ๐ด
Bila kuweka msingi imara huwez jenga gorofa kama unaakili utanielewa ๐คฃ๐คฃ๐คฃRekodi zisizofutika ๐ฅ๐ฅ
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1754419507408351468?t=bFoAan3l-x_LKW5qzmIBCA&s=19
Demand ipo sana tuu ila uwezo wa Shirika kufikisha umeme Kwa wahitaji ndio mdogo.Waaaaa hamjafikisha hata 2000MW, anyway najua hakuna demand. ๐ ๐ ๐
Wala usiwe na waswas JN dam pekee itazalisha 2115MW we bado huogopi ๐ ๐ ๐Waaaaa hamjafikisha hata 2000MW, anyway najua hakuna demand. ๐ ๐ ๐
Iwe zimeanza kuibiwa leo au jana au juzi kitendo hicho na yeye yupo ofsini basi inatosha aachie ngazi ๐๐๐๐๐Transfoma zimeanza kuibiwa miaka hii au wewe ndio unasikia Kwa Sasa kutoka Kwa Waziri?
Mwisho wewe umewahi Kuachia ngazi ipi huko uliko?
Mtoto wake aanafanya happy birthday kwenye private jet angani alaf umesema anahitaji bei gani?? Na anahitaj yeye kama nani fundi au??๐๐๐๐๐ musifanye watanzania wajinga sanaMakamba alisema anahitaji Trilioni 4 kufanya overhaul mkambeza .
Sasa ni hivi hakuna siku umeme utaacha kukatika Nchi hii labda utapungua.
Kwanza ni miaka gani umeme ulikuwa haukatiki labda.
Kipindi cha Magufuli ilikua nadra sana kusikia umeme unakatika.Makamba alisema anahitaji Trilioni 4 kufanya overhaul mkambeza .
Sasa ni hivi hakuna siku umeme utaacha kukatika Nchi hii labda utapungua.
Kwanza ni miaka gani umeme ulikuwa haukatiki labda.
Umeandika ujinga ๐ฎBila kuweka msingi imara huwez jenga gorofa kama unaakili utanielewa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kufufuliwa kwa ATCL ilikua moja ya nguzo kuongeza watalii, lazma ujenge msingi imara ndio ujenge gorofa na siku zote aliejenga msingi hawez onekana ataonekana aliefanya finishing ya jengo ๐คฃ๐คฃ
Hakuna ukweli tofaut na huo hata mbingu na dunia zibadilike sasa hvi
Huyo mlishwaji anaelewa nini kuhusu hustling??Mtoto ya mukubwa inatukana wakenya sasa
๐๐๐๐๐๐๐๐
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1755544081126621355?t=fTSoktMRSeuGtYni5fVRcA&s=19