Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utashangaa analinganisha na ushuzi mmoja wa tako city, tako city ina zaidi ya miaka 20 inajengwaga tu wakati hizi outskirts zote kali za Dom hata miaka minne hazina zimeibuka tu juzi kati hapo, Kichaa mmoja alete outskirt ya tako city kama hii!

Your browser is not able to display this video.
 
Boss huku hadi vijijini kuna estates za maana
 
Leo nitajipa session ya kupost mitaa ya DODOMA na nitaeleza pia ni umbali kiasi gani unaweza kuipata hiyo mitaa from Dadoma City center, walau jirani atoke tongo tongo.
Yalivyo na roho mbaya baada ya kuona Dodoma ni moto wa kuotea mbali yamejificha yanachungulia, baadaye yatamtuma chizi wao mnuka mavi aje kulinganisha Dom na tatu city 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwa taarifa yako iwe Nigeria au Tanzania origin ya mapaa haya ni nchi zenye baridi ili barafu iteleze na kutofanya paa li-colapse kwa kuelemewa na theluji! sisi tumeiga! Ukitaka kujua hilo angalia nyumba za Kikoloni za Mjerumani Tanzania zote utaona style ya mapaa hiihii!
 
View attachment 2894952

Kaka Dodoma ni kisanga, wale watu sijui ni pesa ya fidia za miradi waliopisha maeneo yao ndio wanafanyia hizi kufuru sijui ni nini!

View attachment 2894952
Kudadadeki wakunya kila wanapogeuka Dodoma inawapelekea moto tu kila wakigeuka Dom inawapumulia kwenye vijambio vyao 🀣🀣🀣🀣🀣

Alafu nnachopendea Dom maendeleo kote kote na kimpangilio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…