Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera ndio sehemu wanaishi wakenya wengi sana 2.5 million people, not a joke😀😀😀😀 robo tatu ya nairobi nzima iko kibera slum
Umemjibu vizuri huyo Mkora,
Kibera wanakaa 60% ya wakazi wa Nairobi.
Ni lazima tuoneshe sehemu inayokaliwa na wakazi wengi zaidi Nairobi.
 
Umemjibu vizuri huyo Mkora,
Kibera wanakaa 60% ya wakazi wa Nairobi.
Ni lazima tuoneshe sehemu inayokaliwa na wakazi wengi zaidi Nairobi.
Bado slums zingine kama mfano makuru kayaba wanaishi watu zaidi ya 700k imagine😀😀😀😀😀
IMG_1171.jpg
 
Hujui kericho wewe....kenya highest foreign exchange earner ni tea na kericho/bomet inaproduce 70% of that
Bahati nzuri kericho ni sehemu nimetembea sana nikiwa naelekea kisumu😀😀😀 collo kuna miji kenya wewe huwez kunidanganya mm, mm najua mashamba yote ya chai kericho yanamilikiwa na settlers au kwa lugha nyingine wazungu investors
 
Hujui kericho wewe....kenya highest foreign exchange earner ni tea na kericho/bomet inaproduce 70% of that
Na jambo ambalo hua linaniskitisha sana nikipita kericho ni pale napoona waajiriwa farmers wanaishi humu 😀😀
Yani settlers( wazungu) wanawakamua mpaka makamasi
IMG_1172.JPG
 
Bahati nzuri kericho ni sehemu nimetembea sana nikiwa naelekea kisumu😀😀😀 collo kuna miji kenya wewe huwez kunidanganya mm, mm najua mashamba yote ya chai kericho yanamilikiwa na settlers au kwa lugha nyingine wazungu investors
My friend huwezi ni danganya ata kidogo wewe ata dar hujatoka nje...Mara umeenda Mombasa,Mara kericho,Mara eldy ....majority chai hutoka kwa wakulima 75% na chai za multi nationals ni 25%....google "tea bonus" in kericho ujue vile wakulima wana doo mbaya
 
Sikulazmishi uamini sana lakin huo ndio ukweli sikatai wanalima chai ila mashamba yote ni ya wazungu😀😀
Au kwa lugha nyepes investors, na wakenya ni waajiriwa wakulima na wavunaji mazao
 
Sikulazmishi uamini sana lakin huo ndio ukweli sikatai wanalima chai ila mashamba yote ni ya wazungu😀😀
Au kwa lugha nyepes investors, na wakenya ni waajiriwa wakulima na wavunaji mazao
Mimi binafasi nina acre 5 ya chai ...iyo pia niya wazungu?
 
Iko jangwani kwani?
rudi shule ukasome vizuri kuhusu geographical features za eneo lenye jangwa...tangu lini eneo lenye jangwa linakuwa na uoto wa asili wenye mimea ya green?.

BTW,the land size of mlonganzila hi-tech health facility is 3,800 acres.only few acres were developed...remaining acres are staged for future projects.that is the reason why you see some areas with no buildings (jangwa )

the land where mloganzila is built was commissioned by former president jakaya kikwete to the ministry of health.

question.
is their any recent project in kenya where the government or private organization has given 3,800 acres of land for public use?.
 
Back
Top Bottom