Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣 🀣 🀣 🀣 Unatakiwa ujue nchi yako inanunua silaha kutoka wapi. Usipoelewa utaonekana mpumbavu tu. 🀣🀣🀣. Silaha siyo kama simu leo unaenda duka hili halafu kesho unaenda duka lile. never. 80% ya silaha nzito Tanzania inatoa Russia na China tu.
 
Kwanza tuanze na bajeti..kabla hatujaanza mazungumzo..
 
Sasa comments za kwenye twitter unazileta hapa.
Jifunze kwanza military doctrine ya nchi yako.
Usilazimishe tufanane mzee. Nenda kawaulize M23 sasa hivi wanahali gani.
Unaonyeshwa hadi intelligence website unapinga. Pole sana, umia pole pole. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Na bado bandits na alshabab uwa wanawaweka mid finger watakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…