Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asa kumbe we ni fala?
Huyo Khalifah Haftar si mtu wa street battle??
Kumbe hujui vita za waarabu??
Khalifah haftar kundi lake ni kama la Hamas tu we kijana.
Unategemea wapeleke vifaa vizito?
Umeskia hao IDF?
 
Hiyo mzee ni Civilian ya kubebea abiria mzee 🀣 🀣 🀣 Naona unaweza kuleta KQ hapa. Tuletee Military weapons hapa
So serikali yenu ilitafuta civilian helicopter Tanzania yote ikakosa wakaamua kukuja kuomba za KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
KDF Anti Drone Surveillance System πŸ‘‡ πŸ‘‡



Jeshi ya tangagiza bado iko nyuma, sidhani hata wanajua kutumia military drones leave alone having an anti drone surveillance system.
 
Mnachapwa na Malawi kila siku Sasa Kenya ndio mtawezana nayo. Our police officers once crossed into Tanzania border ikawacharaza viboko kweli kweli and your government did nothing.
Unaleta uongo gani huu?
Lini Malawi alimpiga Tanzania??
Lini polisi wa Kenya uvuke Tz halafu uachwe??
Au umelewa brothee!!
 
So serikali yenu ilitafuta civilian helicopter Tanzania yote ikakosa wakaamua kukuja kuomba za KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Umeishiwa Military weapons? Halafu hiyo wala siyo serikali ni Chama cha siasa kama vile Diamond mlivyomkaribisha kwenye campaign. 🀣 🀣 🀣
Leta Weapons hapa tuzichambue
 
TPDF nawaombea wawe wameupdate kwenye drone technology, wote tunajua M23 ni RDF,

South Africa ni muda sasa wafanye kazi yao ya Air defense, maana kazi yetu tunaifanya kikamilfu hadi wamelia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…