The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,072
- 1,189
Kiambu county alone singlehandedly destroys Dar in GDPthese people have no idea of the greater Nairobi clearly.....they think its KICC and CBD
Kwani hawa wayahudΓ wanashida gan mpaka wapigwe kokote walipokuwepoπ€Sorry kaka kidogo. Hakukuwa na waisrael eneo hilo kaka. Waliokuwepo pale ni Wayahudi (Jews). Na waliouliwa na Hitler kule Ujeruman ni wayahudi. Na waliuliwa huko poland miaka ya 1960 na wengine waliletwa Tanzania na Iran wale walikuwa ni Wayahudi (Jews).
Tafuta taarifa inaitwa Holocaust in Poland. Na ufuatilie. Tafuta taarifa inayohusu Kidugala settlement
Utakuta Wapoland wengi sana waliletwa Tanzania. Na hao ni Jews.
Huenda hapo ulipo wewe upo na damu ya Jews.
Mimi ninapinga hili suala la Marekani na Uingiereza kuikalia Palestine kwa mabavu na wao kujiita Jews. Wakati Jews halisi wanawaua hapo Palestine.
Ngoja tuachane na mada hii
Unataka latest ya 2023 π π π π π Vingunguti ya panya road haiwezi badilika. πππ
We unataka kufundisha nyanga'au akuelewe, unadhan kaja kuelewa huyo? Huyo kaja kubishanaπWe huelewi ni kichwa kigumu.
Mwenzio tulijadiliana tukaelewana.
We baki na kichwa chako kigumu
Kama kuna uongo si ningerekebishwa?Nionyeshe quote ya huyo mwenzangu akikubaliana nawe. Arguments zako zimejaa uongo na contradictions.
Vingunguti ndio maeneo ya walala hoi kama ilivyo Tandale,Manzese na Mburahati.Unaokota picha Google kuja kujifariji nazo hapa ππ
Umoja ndio hii hapa kijana wa Tandale
View attachment 2891840View attachment 2891841View attachment 2891843View attachment 2891844View attachment 2891845View attachment 2891846
Now welcome to Vingunguti middle-class area πππView attachment 2891852View attachment 2891854View attachment 2891855View attachment 2891856View attachment 2891858
Asa hii ndio Kibera ya Tanzania.Unataka latest ya 2023 π π π π π Vingunguti ya panya road haiwezi badilika. πππ
View: https://x.com/eastafricatv/status/1738579985365950686?s=20
Kawaida hujui kujibu swali. Nimekuuliza, nionyeshe post aliyokubaliana nawe......ama umquote aeleze kama ni kweli kakubaliana nawe. The reason you get angry and think people don't understand you is because you don't understand questions and bring in different arguments instead of answering the question.Kama kuna uongo si ningerekebishwa?
Unaji contradict mwenyewe.
Pitia post za nyuma kuhusu huu mjadala na nexcie.
Hapo naona mbona hakuna nyumba mabati mzee.Unataka latest ya 2023 π π π π π Vingunguti ya panya road haiwezi badilika. πππ
View: https://x.com/eastafricatv/status/1738579985365950686?s=20
Very nice, naona umekubali level ya Vivunguti ni Kibera and not Umoja estate. Vile inafaa.Hapo naona mbona hakuna nyumba mabati mzee.
Hebu kuja huku sasa Kibera π π π
View: https://youtu.be/aIkFQnsoYto?si=purh6_gdar-EP07D
π€£ π€£ π€£ π€£ Sina cha kukusaidiaVery nice, naona umekubali level ya Vivunguti ni Kibera and not Umoja estate. Vile inafaa.
Unajua Kibera hadi ina Bank. Vingunguti kwa panya road kuna benki gani?π€£ π€£ π€£ π€£ Sina cha kukusaidia
Sijaona wakigombana hapo. Kenya wanagombania Ugali π€£ π€£ π€£ Chakula cha wanyama. Tanzania Ubwabwa unapigwa kokote watu wanachota tu kwa uhuru wao.Wanagombania ubwabwa πππππππππππππππππππ
View: https://x.com/kiloya_selemani/status/1752627058197307864?s=20
Very low π€£ π€£ π€£ππππ
"We have ze best education ukanda huu" πππ
View: https://x.com/EduTalkTz/status/1750873685026648242?s=20